Gentleman. . .

Lizzy,i am giving you exactly 24 hrs kuanzia sasa uwe umefuta thread hii nzima,na usirudie!

Bishanga nifute kisa? Ntafuta tu ikowa 'gentleman' ataniomba na sio kuamuru.

Hulalagi wewe?Au ubaridi wa kitanda ndo tatizo?
 
Last edited by a moderator:

we Lizzy ,hivi ulivyofungua hii thread ulikuwa mzima au ulikunywa umechanganya konyagi na amarula.
Halafu kuna mtu kimbelembele kaipiga 'like' thread yako,namshangaa.
 
Kwani we Bishanga kwanini unadhani nilikua nimechanganya gongo na mbege?

Alafu nani huyo kagonga LIKE. . mi sioni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom