Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Gentleman = Mwanaume mpole,mkarimu, muelewa
Sasa kama ni ndo maana, sasa kuna ubaya gani kwa mwanaume kuwa gentleman....!
Halfu sidhani kama ni kweli, anakuwa mtu wa YES kila eneo.... hata kama sio maana!