Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,750
- 91,841
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.
Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.