PostGE2025 Gen Z sio kizazi cha wafia dini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
FB_IMG_1763832960092.jpg
 
Dini Zina maana yake lakini kwa wakati huu ziwekwe kimya Kidogo

Tunataka kushoto ni kushoto na kulia alkadhalika

Kama Dogma ya kidini itachukua nafasi yake itakuwa labda Baada ya hili kupita
 
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae

Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini

Wengi wana 'question' kuhusu uhalisia wa dini na uwepo wa Mungu.. Kinachotokea ulaya ndio kinakuja Afrika... Dini zinapoteza maana

Badala yake wanaibuka watu binafsi kwa gia za unabii na utume(manabii na mitume) ambao wameshasoma mchezo na kupiga ndefu
Gen Z hawataki habari za uzima wa milele wala habari za kiama.. Wanataka miujiza! Wanataka matokeo..
Bongo zao zimekuwa inserted na mafanikio ya haraka ya pesa, mali na vitu vinavyoonekana kama magari, majumba mazuri mavazi ya gharama nknk ! Ndio maana wamejazana kwa watenda miujiza

Ukiwaona wamejazana mahali pa dini basi ujue ni zile za matamasha ambako kina mavazi free style na vibes za mila aina.. Ama kuna miujiza ya uponaji na mafanikio ya kimaisha
Gen Z sio wanasiasa hasa wenye mrengo wa kijamaa.. Hiki ni kizazi cha kibepari.. Kizazi cha bata na starehe.. Kazi kidogo mafanikio makubwa na ya fasta

Kuna kitu cha kipekee sana kinawaunganisha. Na sio siasa wala dini.. Kuna namna yao ya kuwaza, na kutenda.. In short wako positive sana!
Wameshuhudia kwa maumivu makubwa
Waliowaamini kama watu wa Mungu na washika dini ndio hao hao, waliowabaka, waliowalawiti, walio cheat kwenye ndoa zao ndio wauaji, wapiga dili waongo wanafiki na wazandiki wakubwa

Wameshuhudia wakihubiriwa upendo na amani kwa ncha ya upanga na mabunduki
Wameshuhudia wahubiri upendo na amani ndio watesaji na wauaji wakubwa
Hawana imani nao.. Ha wawa amin I linapokuja suala la upendo na amani

Wameshasaidiana wao kwa wao na kuvushana katika hali ngumu na za hatari kuliko hao washika dini na wana siasa!

Gen Z ni dini mpya, no itikadi mpya ni ushirikiano mpya ni mshikamano mpya visivyoyumbishwa na itikadi chovu za kidini.. Wasichukuliwe poa
Ndio maama tunawashangaa, mimi mwenye mambo ya dini wapi na wapi? Mimi ni muumini wa Haki na Amani kwa haya tu Mbinguni Nitaenda
 
We jamaa umenikumbusha hahaha

Kwenye biashara zangu za Nyama namwita Bakari kunichinjia kila siku.

Nikimaliza nawaita watoto wake wanakija kuchukua Nyama ya Utumbo Mama yao anawapikia Ndizi na utumbo, watoto wangu na wake tunapendana sana.

Hao wanaotuletea udini kwa kuficha mambo yao watafeli tu
 
Gen z sio watu wa msikitin wala kanisani hwezi wakuta wanajuwa viongozi wao walivyo utawashawish vipi kwenda uko mfano hapa mtaan huwezi jua nani muslim nani mkristo unakuta wana wanakula bia wanakata kvant na wana upendo ajabu hawana unafiki ukimkera mtu anakuchana live yanaisha apo apo akuna visasi wala vinyongo. Gen z anaweza enda popote akaanza urafiki na wana dk iyo iyo na wakawa familia
 
Waliotaka kuchonganisha wamefeli vibaya mno
 
Gen Z hawataki habari za uzima wa milele wala habari za kiama.. Wanataka miujiza! Wanataka matokeo..
Bongo zao zimekuwa inserted na mafanikio ya haraka ya pesa, mali na vitu vinavyoonekana kama magari, majumba mazuri mavazi ya gharama nknk ! Ndio maana wamejazana kwa watenda miujiza
Yes they are seeking for the truth and manifestation of Power.
 
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae

Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini

Wengi wana 'question' kuhusu uhalisia wa dini na uwepo wa Mungu.. Kinachotokea ulaya ndio kinakuja Afrika... Dini zinapoteza maana

Badala yake wanaibuka watu binafsi kwa gia za unabii na utume(manabii na mitume) ambao wameshasoma mchezo na kupiga ndefu
Gen Z hawataki habari za uzima wa milele wala habari za kiama.. Wanataka miujiza! Wanataka matokeo..
Bongo zao zimekuwa inserted na mafanikio ya haraka ya pesa, mali na vitu vinavyoonekana kama magari, majumba mazuri mavazi ya gharama nknk ! Ndio maana wamejazana kwa watenda miujiza

Ukiwaona wamejazana mahali pa dini basi ujue ni zile za matamasha ambako kina mavazi free style na vibes za mila aina.. Ama kuna miujiza ya uponaji na mafanikio ya kimaisha
Gen Z sio wanasiasa hasa wenye mrengo wa kijamaa.. Hiki ni kizazi cha kibepari.. Kizazi cha bata na starehe.. Kazi kidogo mafanikio makubwa na ya fasta

Kuna kitu cha kipekee sana kinawaunganisha. Na sio siasa wala dini.. Kuna namna yao ya kuwaza, na kutenda.. In short wako positive sana!
Wameshuhudia kwa maumivu makubwa
Waliowaamini kama watu wa Mungu na washika dini ndio hao hao, waliowabaka, waliowalawiti, walio cheat kwenye ndoa zao ndio wauaji, wapiga dili waongo wanafiki na wazandiki wakubwa

Wameshuhudia wakihubiriwa upendo na amani kwa ncha ya upanga na mabunduki
Wameshuhudia wahubiri upendo na amani ndio watesaji na wauaji wakubwa
Hawana imani nao.. Ha wawa amin I linapokuja suala la upendo na amani

Wameshasaidiana wao kwa wao na kuvushana katika hali ngumu na za hatari kuliko hao washika dini na wana siasa!

Gen Z ni dini mpya, no itikadi mpya ni ushirikiano mpya ni mshikamano mpya visivyoyumbishwa na itikadi chovu za kidini.. Wasichukuliwe poa
Gen Z ni kizazi cha kufuata mkumbi, Gen Z ni kizazi kinachopeka ushawishi kutoka AI generated clips, Gen Z ni kizazi ambacho limeshindwa kutofautisha baina ya reality na fantasy.
Lakini Gen Z wa Tanzania ni vibaka , wateja na walevi.. wengi ambayo wanajia au wanasimamia maslahi ya Gen Z ni 35 plus.. ambao hao huwa wanatekeleza interest zako Kwa kuwa over represent Gen Z, ukiwa mmoja wapo ni wewe ambae ni MTU mmoja hopeless Sana...
Sasa wachie watokea barabarani Dec 9 tunamaliza Ile KAZI ya Nov 29. Yaakini maneno yangu.
 
Kama vipi bakwata wajipange tu upya. Hii episode yao ya kutaka kuitumia dini kutugawa, watambue tu imebuma. Na kama walipewa hela au sahani za ubwabwa kama malipo ya kazi, basi wafanye tu wazirudishe kwa mwenyewe/wazitapike.
Wajinga dini ni utapeli uliokuwa unatumika kubrain wash wajinga kwenye karne za Giza sio katika nyakati hizi
 
Before that walipaswa kupitia Majukwaa ya JAMII FORUMS na kuona kwanza watu wa Era hii Wana mtazamo upi kuhusu Dini

Dini ni utapeli tu 😀

Watu wa nyakati hizi wameamka na kutambua Hilo so hawawezi kugawanywa kijinga kisa dini , wakati wanajua fika kuwa dini ni silaha inayo tumiwa na wanasiasa kwaajili ya kubrain wash watu
Ccm waliona kete ya udini iliwabeba kwa kiwango fulani huko nyuma, wanadhani hata sasa itawabeba. Hawajui kizazi cha sasa kinajua imani hairuhusu matumizi ya akili, bali unyenyekevu pasipo kuhoji, kitu ambacho sio cha kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom