VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,741
Unanunua wale dadapoa sawa unapiga nyeto tuNyeto no, ila papuchi nachovya
Unanunua wale dadapoa sawa unapiga nyeto tuNyeto no, ila papuchi nachovya
Wote tutakufa kwanini tuna hofu sana kana kwamba tunaishi milele! Hakuna kinachodumu milele utajiri na umaskini unapita tu. Furahia maisha kadri mungu anavyokubariki maana hatujui wakati akikubariki kufiki uzee kuwa na kitu au bila kitu ni sawa tuMuda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi.
Ndiyo maana:
• Jifunze mapema
• Fanya kazi kwa bidii
• Jenga nidhamu
• Heshimu muda
•Acha masihara na maisha
•washkaji hawatakuwepo unapotaabika uzeeni!
Kwa sababu siku moja utaamka na kugundua ujana umebaki kwenye kumbukumbu tu.
Tumia ujana wako vizuri, maana uzee hausubiri mtu...na uzee usio na rasilimali za kutosha huisha kwa mateso makali zaidi.
Huu ni ukweli mchungu, kuna jamaa namfahamu alichomokea 40 sasa hivi hakamatiki kawaacha mbali hata waliomtangulia kumbe alikua anaset mipango tuKasi ya kutoka 30's kwenda 40's inatisha sio kidogo. 😁
Usipotia akili utajikuta upo 40's bado unakula maskani, huna kazi huna mishe, huna hata godoro. 😁
Tunatishana sana aisee hakuna cha muhimu Duniani kama furaha Yako na amani ya moyo.Ni vitisho tu, ila ndio hivyo life has no rehearsal, live with purpose!
😀 kumbe bado sana hivo, basi ngoja na mimi niendelee kuset mipango tu mpaka 60sHuu ni ukweli mchungu, kuna jamaa namfahamu alichomokea 40 sasa hivi hakamatiki kawaacha mbali hata waliomtangulia kumbe alikua anaset mipango tu
Bhang zinakubaribu bwana mdogo! Usiku umeshaingia..Beautiful day 🌞
Ishi tu, ukitilia kila kitu maanani unachanganyikiwa! Mwingine kajilaza zake stendi na ana amani anawaanzishi uzi wa vitisho lol!Tunatishana sana aisee hakuna cha muhimu Duniani kama furaha Yako na amani ya moyo.