Gen. Sarakikya apanda jukwaani kumuombea kura Sumari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gen. Sarakikya apanda jukwaani kumuombea kura Sumari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Mar 16, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ktk hali ya kusikitisha mkuu wa zamani wa jwtz Mrisho sarakikya amepanda jukwaani kumwombea kura sioi wa ccm huko arusha! Je ni sawa?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu ameshastaafu. Alikuwa jeshini enzi za chama kimoja kwa hiyo hakuna la kushangaza hapo.
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ccm mmafikia hatua hiyo.
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na njaa huwezi hata kuficha hisia zako
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Kwani tatizo lipo wapi si ameshastaafu .
   
 6. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine uwe unafikiria kabla ya kuanzisha Thread jamani.......Bandwith..

  Mirisho Sarakikya alistaafu siku nyingi sana na alistaafu tangu enzi za mfumo wa chama kimoja....Na kikatiba anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote kile akitakacho maana si mtumishi wa umma.....

  So sio kitu cha ajabu kwa mzee Sarakikya kuwa CCM
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  katiba mpya iweke wazi, ukiajiriwa na vyombo vya ulinzi na mahakama moja kwa moja ndio umefikia ukomo wa siasa tukiyaacha yatatuletea malalamiko mengi na kutuvuruga mbeleni
   
 8. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana sarakikya
   
 9. B

  BigMan JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kwani ukistaafu jeshini ama polisi na kujiunga na chadema kunatatiizo ?
   
 10. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wakubwa wote wa JWTZ ni Mafisadi wa CCM, au umesahau Shimbo na mkwala wake kwenye uchaguzi wa 2010?
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  njaa njaa!!!jamani!
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ccm wanajaribu kutumia kila silaha
  hali yao ni mbaya!
   
 13. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mie naona poa tu, ili ushindi wa CDM uwe mzuri nawakihistoria inabidi watu kama hawa washirikishwe japo namuonea huruma maana magamba watamtumia then wanamtupa kama kawaida na sijui kama siasa za kisasa anazijua huyu mzee wetu asije tu akijikoroga kama Ben kwa Vicent
   
 14. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  dah! ishu ni kwamba ana distinguished cv kwny jeshi..., na ana haki ya kumpigia promo anayemtaka akiwa kama mstaafu..., lakini dah!!
   
 15. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  chadema mpelekeni gavana mkuu wa zamani. mambo kutesa kwa zamu.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Niliwaambia, CCM sasa hawataki mchezo.

  Safi sana hatutaki chama cha kidini.
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kutetea huo uozo
  lazima uwe na
  akili za maiti.
   
 18. B

  BigMan JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kama igunga vile chadema hawatoki kwani kila mkutano wakiandaa watu hawazidi ishirini wanaamua kutembelea hospitali hali yao ni mbaya
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Soon utaskia Shimbo na Mwamunyange nao wamepanda Jukwaani!
   
 20. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Yani ukiwa na njaa hata Kibudu unakula! Ndipo CCM ilipofika!
   
Loading...