Gen. Sarakikya apanda jukwaani kumuombea kura Sumari

Ktk hali ya kusikitisha mkuu wa zamani wa jwtz Mrisho sarakikya amepanda jukwaani kumwombea kura sioi wa ccm huko arusha! Je ni sawa?

Huyu mzee ni nani huko Arumeru ? Ni uzee tu wa jeshini au ni kiongozi wa Kimila ?
 
Ktk hali ya kusikitisha mkuu wa zamani wa jwtz Mrisho sarakikya amepanda jukwaani kumwombea kura sioi wa ccm huko arusha! Je ni sawa?
Huyu si yule mkuu wa majeshi aliyetaka kumwangamiza mwalimu miaka ya 70 akaondolewa kwenda ubalozi Nigeria? Au ni mwingine? Hivi mzua shari anaweza kweli kuhubiri amani? Hivi angeisambaratisha nchi leo angesimama kwenye jukwaa lipi kuhubiri maendeleo. Unafiki ni ugonjwa wa hatari sana. Ona tu na Wassira aliemtusi mwalimu akiwa nccr leo kawa shujaa ccm.
 
Back
Top Bottom