Gen. Sarakikya apanda jukwaani kumuombea kura Sumari

Gen. Sarakikya apanda jukwaani kumuombea kura Sumari

Gen mstaafu wa jeshi hawezi kuwa na njaa. Huyo anapata huduma zote kutoka kwa serikali.
 
Kijiji chake cha nkoaranga wamemshangaa sana kumuona jukwaani wanasema amejipunguzia heshima
 
kwani ukistaafu jeshini ama polisi na kujiunga na chadema kunatatiizo ?

huoni kwamba mtu anaweza kukandamiza haki za vyama vingine ili kujiandalia mazingira ya kushinda kupitia ticket ya chama ambacho ana malengo binafsi? i.e "nilikisaidia chama hivi na kile..wakati nipo kazini" "chama fulani kina siri hizi na zile"
 
Wana jf nipo hapa nkoaranga wameru wamemshangaaa sana general sarakikya kwani yeye ndo alikuwa w kwanza kumponda sioi mitaa ya nkoaranga kabla ya mtoto wake willium sarakikya wakiwa kwenye kinyanganyiro cha kusaka tiketi ya chama cha magamba kwani leo wakati anarudi nyumbani mitaa ya sarakikya watu walipata taarifa alikuwa huko makiba na kumshaangaa sana na kuanza kumsema kwa kimeru yaaaaniiiiiiiii aibu wanasema mzee tulikuwa tuna mheshimu anakwenda kumtete a mvaa hereni anatufundisha nini sasa tena alikuwa ndugu yake wakuzaliwa ................. Sarakikya
 
Ameulizwa na ndugu zake anasema mkuu kasema asaidie hali ni mbaya kwa si bado analipwa awe makini kwani cdm wakiingia madakani hakuana pensheni
 
Kuna tatizo tena kubwa sana.
Kombe alitaka kujiunga na Upinzani CCM waka Mkomba Roho yake.

Kuna tatizo kubwa sana kwa mjeshi wa cheo cha juu kujiunga na chama cha upinzani.

If you held one of thehighest ranks in UWT orJWTZ and you plan to join CDM that is a signal to CCM that you dont love your Body and your Soul. In short generals in the army are owned by CCM kama maegesho ya magari na viwanja vya michezo mikoani.

kwani ukistaafu jeshini ama polisi na kujiunga na chadema kunatatiizo ?
 
Wazee angalieni haya mambo kwa maono na mjue ccm isiposhinda ninavyoifahamu Meru, mtakosa pa kupita
 
Mkuu kuna njaa mbili.

Njaa ambayo kila mtu anayo, njaa ta rizki,mkono uende kinywani,mtoto asome, kajumba na kaji corola fulani.

Kuna njaa ya kuendekeza na Njaa kibwaya njaa hiyo ni mbaya sana.
Watu na Shule zao, na ufahamu wao tena mchana kweupe wanaiba fedha za maziwa ya lishe kwa watoto chini ya miaka 5.
Watu wanaiba fedha ya dawa, nyembe gloves na bandage za sibitali.
Watu wanaiba fedha za spea za magari wanayo tembelea wenyewe?

Watu wanataka heshima waliyokuwanayo wakati wakiwa kazini waendelee kupewa bila kikomo.
Watu wanaua wenzao ili kujiongezea kipato juu ya mamilioni wayapatayo kwa wizi kila siku.

Mwenye njaa kibwaya yuko radhi kuua mama yake mzazi ili kuikimu njaa yake.

Njaa kibwaya haimjui Generari wala Rais wa nchi.

Ana njaa kibwaya.

Wenzetu walioendelea huku majuu wamewaweka kwenye kundi la watu ambao ni Schizophrenic.


Gen mstaafu wa jeshi hawezi kuwa na njaa. Huyo anapata huduma zote kutoka kwa serikali.
 
Hiyo ni tisa, kumi ni kwamba hata Nape, ambaye mwanzo alimponda Sioi na kudai kashinda kwa rushwa, sasa mkia kaubana katikati ya miguu! Unafiki ndani ya CCM hauna kipimo, hakuna tena cha kuvuana magamba!
Leo hii usiombee uchaguzi utokee jimboni Bariadi, shuhudia magamba watakavyomlamba miguu Vijisenti akubali aokoe jahazi. Ndio CCM hiyo, ukianza kuichunguza kwa ndani, utachoka - unafiki na ulafi kama kazi.
Hakika naichukia CCM.
​
 
Gen mstaafu wa jeshi hawezi kuwa na njaa. Huyo anapata huduma zote kutoka kwa serikali.
You need to resert your meaning of "njaa" when the kind of Sarakikya are mentioned...sio kukosa ugali bali mahitaji. Kutambuliwa ni moja ya hitaji....
 
Kijiji chake cha nkoaranga wamemshangaa sana kumuona jukwaani wanasema amejipunguzia heshima
Jenerali Sarakikya naye kaenda ktk siasa za majitaka?! Wakuu wangu wana Jf,ktk Tanzania tunao maafisa wachache sana ktk JWTZ wenye sifa za kutukuka,mmojawapo ni Jenerali Sarakikya. Kama amepanda ktk majukwaa ya siasa hizi uchwara,mambo yakigeuka itakua fedhea kubwa sana kwa huyu mzee! Njaa haina adabu! Huyu mzee alilalamikia pensheni ndogo mwaka jana!
 
Hiyo ni tisa, kumi ni kwamba hata Nape, ambaye mwanzo alimponda Sioi na kudai kashinda kwa rushwa, sasa mkia kaubana katikati ya miguu! Unafiki ndani ya CCM hauna kipimo, hakuna tena cha kuvuana magamba!
Leo hii usiombee uchaguzi utokee jimboni Bariadi, shuhudia magamba watakavyomlamba miguu Vijisenti akubali aokoe jahazi. Ndio CCM hiyo, ukianza kuichunguza kwa ndani, utachoka - unafiki na ulafi kama kazi.
Hakika naichukia CCM.
​
Dua ya kuku.....!
 
jamani amevutiwa na ccm tatizo ninn,hii ni nchi ya vyama vingi kila mtu anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama anachokitaka
 
dah!

ishu ni kwamba ana distinguished cv kwny jeshi..., na ana haki ya kumpigia promo anayemtaka akiwa kama mstaafu..., lakini dah!!

Ndio maana walimsotesha ubalozini hapo Kenya hadi akataka kuchanganyikiwa!
 
sioni tatizo lolote la yeye kupanda jukwaani kuomba kura!!!
 
Hakuna la kushangaza hapo CCM=Jeshi=Wazee=vijana wasio na mwelekeo.
 
Mnaogopa nn chadema? simlitaka siasa? Mbona mnachaguwa wa kupingana nanyi? Tukisema hamna sera mnang'aaka, matusi, kejeli na dharau ndy mtaji wenu na kwa kuwa wananchi hawana burudani wamekuwa wakiwasikiliza na kuburudika na uwongo na vijmbe vyenu majukwaani lakini ukweli ni kwamba hamna sera wala dira yeyote, mnaogopa police kwani mnadhambi gani? Mpaka muwe na hofu? Kama mna niya nzuri na amani yetu kwa nn mnakuwa na hofu na vyombo vya ulinzi?. Nendeni mkakomae kwanza ki siasa .
 
katiba mpya iweke wazi, ukiajiriwa na vyombo vya ulinzi na mahakama moja kwa moja ndio umefikia ukomo wa siasa tukiyaacha yatatuletea malalamiko mengi na kutuvuruga mbeleni

Kimsingi hapaswi kuwa na unazi wa kisiasa waziwazi; tatizo lilopo na katiba hii yetu wakuu wote wa vyombo wanateuliwa na raisi mhusika kwa mantiki hiyo wanakuwa na unazi wa kisiasa kwa kulinda na kutetea maslahi yao; nadhani ungetumika utaratibu wa kuwa raisi ateue na bunge kuwathibitisha kabla hawajakabidhiwa majukumu yao rasmi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Back
Top Bottom