Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Uteuzi wa Ndomba ni katika muendelezo wa kulitumia jeshi kisiasa kwa kuwateua makada wa ccm kuliongoza jeshi.
Luteni Jenerali Ndomba amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa na kwa nafasi hiyo ya mkuu wa mkoa alikuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm. Na ili mtu awe mjumbe wa kamati hiyo ya ccm inamaanisha kwamba ni mwanaccm.
Kwa uteuzi huu bado sitarajii kuona JWTZ ikijitenga na siasa chafu dhidi ya wapinzani.
Aisee inaonekana lazima kwanza uongoze JKT. Wale JWTZ walokuwa na cheo kama cha huyo kabla hajapandishwa inakula kwaoKwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? naomba kujuzwa bandugu
Disgusting. CDF, from JKT. Chief of staff, from JKT. Hawa kweli ni wapiganaji?
Chief of staff mpya is not the right choice and in the matter of fact it is a snub to carrier commanders....within five years ....Ndomba amepanda cheo toka Mkuu wa Mkoa....,Kanali,brigedia jenerali ,(chief of personel), CN - chief of national service ,Maj general ..this year and yesterday Luteni Jenerali....
Ndomba is just a political commiser...Kama JK...bora Shimbo ni carrier.....,kozi stahiki za makamanda wa juu wa TPDF...Iitwayo ....NDC.....alipelekwa karibuni tu....wakati kuna wenzake wamefanyaa hiyo kozi toka wakiwa makanali....,wamepiganisha operesheni ..etc.....vitu ambavyo Ndomba hajafanya....... It's a blow kuweka wanasiasa kwenye kazi proffessional just kwa kuwa ni washkaji.......kuna makamanda KAma Wescesilous Kisampa,,hamad Kijuu,..Na Rioba...ambaye amepelekwa PMO kuratibu maafaa kwa kuwa in military seniority Ndomba asingeweza kuvaa...u Luteni general akawaruka yeye na Kisampa ....ambaye alipelekwa Dafur kupiganisha..majeshi ya Africa .........Ndomba hajaanza kufanya operesheni hata moja ya kijeshi Kama kamanda Mkuu ...so simply ni mwanasiasa na ni mweupe.
Kaka Denisi Mwamunyange ndo nani na wewe? au unamuota Davis Mwamunyange ambae ndo CDFNdugu yetu Ndomba, tunakusihi Jeshi la WANANCHI Tanzania liendelee kubakia kuwa mali ya WANANCHI na wala si mali ya CCM tena kwa kipindi chochote kile hasa wa uchaguzi.
Ziara ya kwanza nenda ukatembelee Ziwa Nyasa na ukanywe chai pale Domira Bay nchini Malawi, ukale chakula cha mchana pale Olivenca nchini Msumbiji kabla ya kuja kusuuzia na wali manukato wa pale Kyema na kulala huko huko hadi kesho yake.
Matumaini yetu ni kwamba Kaka Denisi Mwamnyange atakua amepata msaidizi wa kutumainika na wala si kuendeleza tu siasa za ma-ofisini.
Jicho letu liko nje mkuu hadi siku ya kuvishwa kwako wewe taji kwa 'kazi nzuri' wakati wa kustaafu kwako na wewe.
Lieutenant General ni mmoja tu mkuu, ndio maana akistaafu lazima mtu apandishwe cheo ili ashike huo wadhifa, same to General (CDF).Kwani kupewa hvyo vyeo mpaka wapandishwe kuwa sijui ma luten, na kama ni hivyo kwani hakuna waliofikia huo u luten wapewe hizo nyazifa? naomba kujuzwa bandugu
..kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu retirement ya Lt.Gen.Shimbo na uteuzi wa Lt.Gen.Ndomba.
..Shimbo ame-retire baada ya kufikisha miaka 60, Ndomba naye ameteuliwa akiwa na miaka 58.
..je,Lt.Gen.Ndomba atatumikia kwa miaka 2 tu halafu astaafu?
..pia kuna utamaduni/mazoea kuwa mkuu wa majeshi huondoka madarakani na mkuu wa utawala waliyetumikia pamoja. the only exception ninayoikumbuka ni Waitara kuondoka, na Mwamunyange[mkuu wa utawala] kuwa promoted kuwa mkuu wa majeshi.
..je, ina maana Gen.Mwamunyange ataondoka na Lt.Gen.Ndomba? When is Mwamunyange retiring, he is only 53? Je, Lt.Gen.Ndomba atapewa mkataba kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu in 2 yrs??
Sio Luteni Kanali , wananchi wamempandisha cheo na kuwa Amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya TZ. Ndio maana na yeye anatoa vyeo kwa wa chini yake.