Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

Uongo mkubwa huo, ni wapi kitaalamu imeandikwa kwamba nyongo ya mamba ni sumu.

Leta majibu ya kitaalamu (biological facts) kuthibitisha hilo jambo.
Bila shaka wew n mwanaume wa dar,mnajifanyaga mnajua kila ktu
 
Kuna watu wengine kubaki wajinga ni bora na salama katika uso huu wa Dunia

Hivi unadhani..... akili ndio kila kitu katika kupima majambo?!!!!
Kabisa na ndio mana kuna Dark Web, Sio kila informations ziwe accessible na kila mtu vingine acha vibaki classified siuna ona hata paper za Corona baki classified tu huko Wuhan kwenye labs kwanini wachina wasi publish tu na nyie mnaotegemea google kama credible source mjisomee, Kama Shirika kubwa kama WHO linaingizwa mkenge kwa kupewa taarifa za uongo kuhusu mode of transmission ya Convid19 leo mtu akikosa kitu kwenye hizo search engines ana conclude kuwa hakipo
 
Hakuna nabii baada ya mtume, acha ujinga. Mirza Ahmad Ghulam alikuwa mgonjwa wa akili, Allah amlaani.

Najua huna hoja kwa lolote juu ya itiqadi zenu za kufru za Ukadiani.
 
Mamba mbona mimi sijawahi kumuogopa je ni tatizo,?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekutana nae nchi kavu ambapo ni kama hana effect tu ila mamba kwenye maji ni habari nyingine kabisa, Kuna mamba wana uzito mpaka wa Tani moja hao ni Nile crocodiles nahisi ndio wa pili kwa strong bite force akitoka mwamba tiger, kama sijakosea
 
Umekutana nae nchi kavu ambapo ni kama hana effect tu ila mamba kwenye maji ni habari nyingine kabisa, Kuna mamba wana uzito mpaka wa Tani moja hao ni Nile crocodiles nahisi ndio wa pili kwa strong bite force akitoka mwamba tiger, kama sijakosea
Hivi unaijua bite ya kunguni mkuu.
 
Nilipata kukuonya kipindi fulani kwamba; Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) huyu ni nabii mfuasi wa Bwana wetu kipenzi chetu Mtukufu wa daraja mtume Muhammad (saw)-
Hakuna mfuasi wa mtume anae enda kinyume na mafundishovya mtume, itakuwa hujui maana ya mfuasi kijana.

Pili, uahmadiya ni zao la Waingereza kuuchafua Uislamu, sasa unaposema mfuasi wa mtume, unatakiwa uwe na adabu ya kutumia maneno na kuyaweka mahala pake.
- kumkejeli mtu aliyetumwa na Allah kuja kuwaunganisha waisilamu na kuifanya uisilamu uzishinde dini zote kufanya hivyo ni kujitafutia laana, narudia tena;
Hapa naandika ukweli na sikejeli hii. Historia ya Mirza Ghulami inaonyesha hakuwa sawa kiakili, pili haijulikani huo Uisla tu alisoma kwa walimu gani.

Wewe tuwekee tu ushahidi wa haya unayoyaandika, tunasema hivi hakuweza Mirza kufanya nyinyi ndiyo muhali kabisa.
Allah Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as), ni watu wengi wamefedheheka na kudhalilika juu ya kumkejeli huyo mjumbe wa Allah, nakusihi tubu na omba maghfira mapema kabla haijawa too late.
Nimecheka sana, naona mnaleta utani na hii dini.
Kwahiyo unataka niombe muongozo kwa Allah kumfata Ghulamu Ahmad ? Wakati Allah ameshaweka wazi kila kitu.
Jiepushe na prejudice za maadui wa Hadhrat Ahmad (as), tafuta na fanya tafiti wewe mwenyewe huku ukimtanguliza Allah mbele kwa unyenyekevu na bila shaka Allah atakuongoza.
Naona unaendelea kukufuru.

Sasa nifanye utafiti juu ya jambo ambalo liko wazi na linajulikana, ndiyo maana na nyinyi ni mazwa zwa kama alivyo mkubwa wenu. Yaani sawa sawa na unitake nifanye utafiti juu ya kuwepo jua, wakati jua tunaliona kila siku, haya ni matumizi mabaya ya akili na kupoteza muda. Wewe weka hoja zako.
Nimeona niliseme hili kwanza kwasabu ni jambo kubwa.
Jambo kubwa kwa sababu mnafanya kufuru na kuunajisi Uislamu ila si jambo kubwa kwa kusema kwenu Mirza Ghulamu ni nabii, sababu mnadhihirisha Ugonjwa wenu wa akili, na mnapata madhambi na mtakuja kuulizwa.
 
we jama kiboko. inaelekea humpendi Mamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kwahyo mamba alipigwa ukuni?
duh duh duh
 


Sitaweza kujadiliana nawe sio kwamba sina uwezo isipokuwa kadiri nitakapokuwa najadiliana nawe ndivyo "utakavyocharuka" kutukana, mimi sitaki kuwa chanzo cha wewe kumtukana mjumbe wa Allah.

Ila onyo langu kwako ni lilelile kwamba: wewe ndiye utakayekuwa mtu wa kwanza kusalimika utakapozidi kumtusi Hadharat Ahmad (as) masihi aliyeahidiwa, mfuasi wa mtukufu mtume (saw) na muanzilishi wa jumuiyya ya waisilamu wa Ahmadiyya.
 
Nyongo ya mamba ni sumu ila kuna namna yakuiandaa. Sasa sidhani kama mambo kama haya unaweza ukaletewa ovyo ovyo kwenye mitandao.
Nyogo ya mamba pamoja na ubongo wake ni hatari sana kwa binaadam, Wataalam wa wanyama wamesisitiza hilo wakati mamba huyo alipokua akichunwa ngozi,Hivi kumbe mamba wanaliwa?
 
Nasema hivi huna uwezo huo, na hili limedhihirika zaidi ya mara kadhaa humu ndani, unabisha jambo la kielimu ukibainishiwa hoja, unaishiwa unaana kutoa udhuru na unatokomea mazima.

Sasa sisi hatulei ujinga na upotofu wa kuichafua dini yetu ya Uislamu kwa ujinga wenu na kukosa maarifa.

Nakukanya tena na tena, ukiwa unajengs hoja kuhusu jambo fulani usiingize itikadi zenu za kufru katika mambo ambayo hayahusiani kama ulivyo fanya katika mada hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…