Kwa hiyo bwana "Masele" ni bavicha? Waambie wakurudishie ubongo wako.Uchaguzi umekwisha Bavicha chapeni kazi!
Hilo jamaa limebaki kapu tupu kichwani!Kwa hiyo bwana "Masele" ni bavicha? Waambie wakurudishie ubongo wako.
Ama walitoa siriNyoka wakikosa mijusi wanakulana wao kwa wao
Hilo ni taahira mkuu achana nalo..halijitambuiKwa hiyo bwana "Masele" ni bavicha? Waambie wakurudishie ubongo wako.
Hao wanatafuta kiki tu uchaguzi umeisha badala ya kufanya kazi mnaanza kutifuana tenaWasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao...
Kazi ziko wapi toeni ajiraUchaguzi umekwisha Bavicha chapeni kazi!
Hivi humo kichwani zimo kweli au kuna wanzuki tu?Uchaguzi umekwisha Bavicha chapeni kazi!
Za kwenye mabegi hazikutosha?Wanatuhumiwa kuhujumu chama na kupelekea kura za Urais kupungua wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020
Tupe kazi, tusajili hata halo mtaa wa kijani tutakufanyia kazi nzuri.kwani hatuelewi mtaani Bila ajira.Hivi humo kichwani zimo kweli au kuna wanzuki tu?