Gear Box, Mitsubishi Chariot inatakiwa

Gear Box, Mitsubishi Chariot inatakiwa

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Jamani habari zenu, nahitaji gearbox ya Mitsubishi Chariot, Full time four wheel drive, mwenye nayo please contact me. mind you hii siyo grandis ni model kabla ya hiyo
Asanteni
 
mwenye hiyo namba anayo ila alikuwa anauza na engine yake jaribu kuwasiliana naye 0655008009,
 
pole sana na mimi ni miongoni mwa wahanga wa gea box ya suzuki grand ya mwaka 98 naomba msaada wakuipata
 
jamani nisaidieni namna ya kupata gea box ya suzuki grand ya mwaka 98
 
Back
Top Bottom