Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

'serikari corrupt haikusanyi kodi, inabaki kukimbizana na ushuru mdogomdogo wa wamachinga mabarabarani'. hayo ni maneno ya Julius Kambarage Nyerere.Sasa serikari yetu inayoongozwa na ccm na jk ndicho wanachofanya.
slaa kama mtanzania mwingine yoyote anastahili kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya taifa na si vinginevyo
 
b4 cjatoa koment nimepitia mawazo yenu wadau na kwa asilimia kubwa mpo chanya zaidi kuhusu mwelekeo wa taifa le2 ijapo kuna hawa wachache walomponda slaa,nawaonea huruma mana n umasikin wa fikra mana mnashndwa kujua n wajibu wa tra kukata kodi ya kila mwananch na c kaz ya mwajiriwa kuwapelekea kodi,isitoshe 2jue hapa kuna ujanja unafanywa na watawala kuwanyima uwezo wapinzan kuweza zunguka kwa raia wote kuwapa elimu ya uraia ndo mana wakikugundua una miradi yako na haupo kwa chama cha magamba watakufilisi kama haupo imara,n utawala wa kidikteta ijapo 2mejitetea cna kua we a democratic bt in real sense no democracy in tz
 
Kwanini asilipe kodi?...hilo ndio swali la maana.Kama alilipa,ataenda kuonyesha kuwa alilipa.
Tunajua kabisa kuwa CDM ipo vitani na serikali iliyopo,kwanini wasilipe kodi?
Hiyo ni loophole ambayo mtu yoyote angetumia kumcrush mpinzani wake.
Msishangae!
 
kiongozi wa chama cha kisiasa tena padri halipi kodi.

huyu ataungua kwa mungu sio kwa kuiba wake za watu tu mpaka kutokulipa kodi.

fisadi wa wake za watu sasa fisadi wa kodi.

chadema lipeni kodi bwana, muuza mitumba alipe kodi nyie mnakwepa

Haaa...!!!! Kumbe ni wewe? Za sikuuu? naona hujaacha kale katabia ka-kurukia
mambo ya wastaarabu.
 
WAKUU SHERIA YAKO HIKO WAZI TRA
wasipige kelele kwa kutofanya majukumu yao na kulipuliwa na dr slaa.
kwa kauli hii ya TRA ningekuwa raisi nawatia kazi wote na kuwafungulia kesi ya uzembe na kuhujumu uchumi.
kama wanajua kuna mtu au kamapuni inakwepa kodi LEGAL DUTY yao TRA ni nini?
 
Wakubwa,
gazeti la leo la Magamba-Mzalendo, limeandika hyo habari!

Tena mshahara wa Dr. Slaa ni sh.1,700,000 na wamesema hauna kodi.

Wamesema chadema haijalipa kodi tangu 1992. Na wamedai walipe haraka sana pamoja na adhabu.

My take: TRA WALIKUWA WAPI hadi wakurupuke leo kutoa hyo taarfa? Majungu hayaish yaan hadi TRA yaingia katka siasa!

- Siasa za majitaka, Two wrongs haziwezi ku-make it right: Dr. Slaa ameingia Chadema baada ya Mkapa kumkataa asiwe mgombea ubunge wa Karatu, kwenye uchaguzi wa Mwaka 2000 unless alikuwa halipi kodi toka akiwa CCM.

- Now why now? Halafu huu utaratibu wa kuwatangaza wananchi kwa public kwamba hawajalipa kodi umeanza lini? Does it mean viongozi wote wa CCM hawadaiwi kodi kabisa? Kweli TRA inaweza kulithibitisha hilo kwamba hakuna kiongozi wa CCM anayedaiwa hata senti tano huko TRA?

- Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM, tunawaambia CCM kwamba kwa this kind of politics tutaishia kuondoka kwenye power 2015, kwa sababu all you accomplish here politically ni kuwaonyesha wananchi kwamba unamuogopa Slaa na kumpa umaarufu wa bure katika hiki kipindi kigumu sana kwetu CCM, badala ya kuwakomalia mafisadi warudishe hela za EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, DEEPGREEN na wazilipie kodi kwanza, wewe unakwenda kuongelea za kodi za Slaa! nonsense!

- I mean what is the point kwamba hela hizo za kodi ya Slaa ndio zinasababisha mgawo wa umeme? Aghhhhhhhh Nonsense!

Nothing but power abuse!

William @ NYC, USA.
 
mkuu okoeni chama chenu. ndo kinawafia hivyo!

siasa za taarabu. siasa za udaku. siasa za kuchokoa maisha ya mtu binafsi.

ni ujinga wa hali ya juu ukifikiria nini mantiki ya Gazeti linaloheshimika miaka na miaka kuanza kuandika habari za kihuni.
 
Amelipa kodi?...kama hajalipa,kwanini?
Tax evasion is a serious crime,sitaitetea!
 
hawajalipa kodi toka mwaka 1992?
Halafu wana jiita TRA?
all those years walikua wapi?
kuna watu wangapi wasio watanzania wameingia nchini
na kufanya biashara bila kulipa kodi na wakaondoka kama TRA hawako makini kiasi hiki?
kinacho lipa kodi ni chama cha siasa kama chama au ni chama kupitia vitega uchumi
kinavyo miliki?
chadema ina vitega uchumi gani?
vyama gani vingine havijalipa kodi au ni chadema peke yake?
Miaka yote walikua wapi?

Wapuuzi hawa,....
Anyway,kama anadaiwa alipe kweli (tatizo ni siasa ndani ya utendaji katika TRA)

Hii haina tofauti na yule anayeomba ushahidi wa Kagoda toka kwa wananchi, au JK kusema haijui Dowans na wamilki wake. Lakini to conclude "neno la uongo likisemwa sana hubadilika kuwa la kweli..." kama lilivyobadilika la EPA likawa la kweli! TRA wawajibike kwa hili wameikosesha serikali pesa nyingi sana huku wakizunguka na Defender kwenye vigenge wakishawishi watu kulipa kodi.
 
Kwa kuwa TRA wanataka kufanya siasa, chadema fanyeni yafuatayo. Fanyeni uchunguzi wa mali walizojimbikizia maofisa wote wa TRA kuanzia comissioner wake, na ma-directors wote, muweke hizi taarifa wazi kwa wananchi. Tunataka kujua majumba yao na ma-states yao zyaliyotokana na rushwa ana wizi wa kodi ya watanzania. Tunakaa nao huku mtaani, Tunazijua mali zao, na magari yao ya kifahari, pamoja na mabangaloo yao. Then tutajua kama wao wana uchungu na nchi hii au la?
 
Kodi na sehemu muhimu ya mapato ya serikali. Mapato ndio yanayoamua tuwekeje mipango ya maendeleo. Sasa ni changamoto ya TRA kuwa wabunifu kuboresha ukusanyaji kodi na accountability kwa ujumla. Muda na juhudi nyingi ilitakiwa iongezwe kwene kuimarisha hii agency, sadly I am not convinced na utendaj wake kwa ujumla.
 
mkuu okoeni chama chenu. ndo kinawafia hivyo!

siasa za taarabu. siasa za udaku. siasa za kuchokoa maisha ya mtu binafsi.

ni ujinga wa hali ya juu ukifikiria nini mantiki ya Gazeti linaloheshimika miaka na miaka kuanza kuandika habari za kihuni.

- CCM haiwezi kutufia huku tunaona, tutaikoa tu wala usiwe na wasi wasi ndio tumeanza sasa!

William @ NYC, USA.
 
CCM ndio imekufa, Ndo maana sasa kazi yao ni kuiba kura. sitakubali mie wala kizazi changu kiwe na mumini wa ccm, maana ccm imelaaniwa na Mungu kwa wizi, udanganyifu, na kuwa sababu ya umaskini wa tanzania wote. Wengi ktk ccm wanajali matumbo yao zaidi kuliko haki za watanzania walio wengi. Ni aibu mtu mwenye moyo safi na akili safi kuwa mwanachama wa ccm, haiwezekana !!!
 
- Siasa za majitaka, Two wrongs haziwezi ku-make it right: Dr. Slaa ameingia Chadema baada ya Mkapa kumkataa asiwe mgombea ubunge wa Karatu, kwenye uchaguzi wa Mwaka 2000 unless alikuwa halipi kodi toka akiwa CCM.

- Now why now? Halafu huu utaratibu wa kuwatangaza wananchi kwa public kwamba hawajalipa kodi umeanza lini? Does it mean viongozi wote wa CCM hawadaiwi kodi kabisa? Kweli TRA inaweza kulithibitisha hilo kwamba hakuna kiongozi wa CCM anayedaiwa hata senti tano huko TRA?

- Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM, tunawaambia CCM kwamba kwa this kind of politics tutaishia kuondoka kwenye power 2015, kwa sababu all you accomplish here politically ni kuwaonyesha wananchi kwamba unamuogopa Slaa na kumpa umaarufu wa bure katika hiki kipindi kigumu sana kwetu CCM, badala ya kuwakomalia mafisadi warudishe hela za EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, DEEPGREEN na wazilipie kodi kwanza, wewe unakwenda kuongelea za kodi za Slaa! nonsense!

- I mean what is the point kwamba hela hizo za kodi ya Slaa ndio zinasababisha mgawo wa umeme? Aghhhhhhhh Nonsense!

Nothing but power abuse!

William @ NYC, USA.

Natamani TRA na Magamba wote waisome post hiyo na kuielewa jinsi inavyostahili..!!
Tuko pamoja Mkuu.
 
- Kulipa kodi ni muhimu sana, lakini swali ni je huu ndio utaratibu wa TRA wa kutangazana kwenye public au unaanzia na Slaa?

William @ NYC, USA.
Mkuu are you serious?
leo nikiiba mbuzi kijijini kwetu,nikapatikana,gazeti gani litaandika?
Ila,Dr akiiba mbuzi,mpaka New York Times litaandika!.....it comes with the territory son!
If you are being audited for tax evasion,hiyo ni public record and once journalists finds it,of course they gonna publish it.
If not,the TRA being the archnemesis of Slaa,will definately publish it.....
welcome to politics!!!
 
Haya hata kama akilipa kodi hiyo wanayo idai toka mwaka 1992 bado haitasaidia kitu
utendaji bora wa kazi ndiyo unaotakiwa hapa wala si kodi ya slaa na kuyaondoa
magamba yote ya nyoka
 
Yaani hawa TRA wamejipalia makaa ya moto kama Mizengo Pinda alivyoingizwa
mjini kwenye suala la mauaji ya Arusha. Hapa sitashangaa Rais, VP, Mawaziri,
Makatibu wakuu, Wabunge, etc wakaingia kwenywe huu moto walionzisha TRA.

Ina maana Dr. Slaa tangia awe mbunge 1995-2010 alikuwa halipi kodi? Maana yake
ni nini? wabunge wote wa bunge la JMT walikuwa hawalip kodi. Hapa ofisi ya bunge
inatakiwa kuwajibika.

Sasa ngoja data zije kuhusu viongozi wa juu wa CCM ambao pia wana vyeo serikali
(maana ni karibu wote including Rais) tuone kama mishahara yao wanayolipwa na chama
(CCM) inalipiwa kodi?

Kama Kitilya wewe umebariki kutumika kiasiasa kutoa madai haya, mark my words, your
days are numbered. Time is the best teacher, ngoja tusubiri.
 
Haya hata kama akilipa kodi hiyo wanayo idai toka mwaka 1992 bado haitasaidia kitu
utendaji bora wa kazi ndiyo unaotakiwa hapa wala si kodi ya slaa na kuyaondoa
magamba yote ya nyoka
Adhabu yake ni kifungo!!....sio rahisi kama unavyofikiri.
 
- Siasa za majitaka, Two wrongs haziwezi ku-make it right: Dr. Slaa ameingia Chadema baada ya Mkapa kumkataa asiwe mgombea ubunge wa Karatu, kwenye uchaguzi wa Mwaka 2000 unless alikuwa halipi kodi toka akiwa CCM.

- Now why now? Halafu huu utaratibu wa kuwatangaza wananchi kwa public kwamba hawajalipa kodi umeanza lini? Does it mean viongozi wote wa CCM hawadaiwi kodi kabisa? Kweli TRA inaweza kulithibitisha hilo kwamba hakuna kiongozi wa CCM anayedaiwa hata senti tano huko TRA?

- Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM, tunawaambia CCM kwamba kwa this kind of politics tutaishia kuondoka kwenye power 2015, kwa sababu all you accomplish here politically ni kuwaonyesha wananchi kwamba unamuogopa Slaa na kumpa umaarufu wa bure katika hiki kipindi kigumu sana kwetu CCM, badala ya kuwakomalia mafisadi warudishe hela za EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, DEEPGREEN na wazilipie kodi kwanza, wewe unakwenda kuongelea za kodi za Slaa! nonsense!

- I mean what is the point kwamba hela hizo za kodi ya Slaa ndio zinasababisha mgawo wa umeme? Aghhhhhhhh Nonsense!

Nothing but power abuse!

William @ NYC, USA.

Thnks 4 yo coment,although u a monopatist in nature bt u a bright
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom