Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Kwahiyo kuna maeneo mwisho wa mwezi TRA huwa hawakusanyi kodi?na tokea mda wote huo walikuwa wapi kuja kugundua leo?je katika mazingira ya hivi si kweli kwamba kuna watu/kampuni/vyama/mashirika n.k havijawahi kulipa kodi tokea 1980's?kama ndivyo tutaaminije kama TRA sio wala rushwa?je hii TRA si imeshindwa kazi yake?je umaskini wetu si waweza kuwa unachangiwa na uzembe wa TRA,?Tanzania Rotten Agency!!