Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

hivi mnajua PAYE ya 1.7m ni kiasi gani?hebu mwana mahesabu atukokotolee atuwekee hapa!badala ya TRA kulia na misamaha ya kodi inayotolewa inayozidi mapato,inalia na PAYE ya 1.7m?na pia wahindi wanaotengeneza payroll mbilimbili ili kukwepa koddi wanalia na salary ya Dr?kweli bongo tambarare.
 
Huyu Slaa PhD ya kanoni isiyoukuwa na digrii hata maja si ndio anajidai kutetea umma? Kumbe mwenyewe mbabaishaji halipi kodi? Looooo! Yatamshinda.

We tunza mimba huko acha umbea,...:mimba:
watu wote tumeoa hapa
 
Mabango ya ccm yaliyoingizwa wakati wa kampeni yaligharimu shilingi ngapi na yalilipiwa kodi kiasi gani? Viwanja na majengo ya ccm mapato yake yanalipiwa kodi kwa mwaka kiasi gani? Mshahara wa raisi na waziri mkuu unakatwa kodi kiasi gani? Serikali inapoteza fedha kiasi gani kwenye makampuni ya madini na binafsi?

Mwenye jukumu la kukusanya kodi ni Tra kama taasisi kwa kufuata sheria au kodi zinalipwa kwa upepo wa kisiasa? Walikuwa wapi siku zote hawawabani cdm?
 
Naona kama una chuki binafsi??Hivi ushawahi kujiuliza kwanini TRA hawafungui kesi hii mahakani kumkabili Dk Slaa??

Kumbuka, kazi ya TRA ni kukusanya kodi, sasa kodi hajalipa ni lazima kwanza wampe darsa la kulipa kodi, akikaidi hapo, ndio njia mbadala zitafuata.
 
Bisheni, teteeni, karipieni, lakini kumbukeni, kama sheria inampasa alipe kodi basi ailipe. Hakuna cha kutetea hapo. Na kama sheria inamruhusu asilipe kodi basi asilipe.
 
Huwezi kutetea dhambi kwa kufanya dhambi. Huwezi kusema mie silipi kwa sababu fulani halipi, lipa kwanza halafu anza kudai kwa nini fulani halipi.
 
Mabango ya ccm yaliyoingizwa wakati wa kampeni yaligharimu shilingi ngapi na yalilipiwa kodi kiasi gani? Viwanja na majengo ya ccm mapato yake yanalipiwa kodi kwa mwaka kiasi gani? Mshahara wa raisi na waziri mkuu unakatwa kodi kiasi gani? Serikali inapoteza fedha kiasi gani kwenye makampuni ya madini na binafsi?

Mwenye jukumu la kukusanya kodi ni Tra kama taasisi kwa kufuata sheria au kodi zinalipwa kwa upepo wa kisiasa? Walikuwa wapi siku zote hawawabani cdm?

Kwa hiyo hayo maswali yako ndio sababu zinazomfanya Slaa PhD wa kanoni bila digrii hata moja, kuwacha kulipa kodi?
 
Wakubwa,
gazeti la leo la Magamba-Mzalendo, limeandika hyo habari!

Tena mshahara wa Dr. Slaa ni sh.1,700,000 na wamesema hauna kodi.

Wamesema chadema haijalipa kodi tangu 1992. Na wamedai walipe haraka sana pamoja na adhabu.

My take: TRA WALIKUWA WAPI hadi wakurupuke leo kutoa hyo taarfa? Majungu hayaish yaan hadi TRA yaingia katka siasa!
Kwani kaka katika mgazeti hayo unategemea nini kiandikwe hasa wakati huu ambapo magamba yamekuwa magumu kung'oka?
 
hawajalipa kodi toka mwaka 1992?
Halafu wana jiita TRA?
all those years walikua wapi?
kuna watu wangapi wasio watanzania wameingia nchini
na kufanya biashara bila kulipa kodi na wakaondoka kama TRA hawako makini kiasi hiki?
kinacho lipa kodi ni chama cha siasa kama chama au ni chama kupitia vitega uchumi
kinavyo miliki?
chadema ina vitega uchumi gani?
vyama gani vingine havijalipa kodi au ni chadema peke yake?
Miaka yote walikua wapi?

Wapuuzi hawa,....
Anyway,kama anadaiwa alipe kweli (tatizo ni siasa ndani ya utendaji katika TRA)

Nimependa sana hitimisho lako...
 
TRA are just nosediving...

Tukija hapo wajue basi tutakata sana kodi kuanzia kwenye perdiems, transport, exta duty, over time na sitting allowances

ushauri wangu kwa Dr. Slaa, kama ni kweli basi kalipe halafu ulete hoja binafsi watu walipe uone watakavyogwaya... hao makamishna wenyewe wanasaini bahasha za sitting wakijua kabisa kwamba sheria inawataka wakatwe kodi
 
Wakubwa,
gazeti la leo la Magamba-Mzalendo, limeandika hyo habari!

Tena mshahara wa Dr. Slaa ni sh.1,700,000 na wamesema hauna kodi.

Wamesema chadema haijalipa kodi tangu 1992. Na wamedai walipe haraka sana pamoja na adhabu.

My take: TRA WALIKUWA WAPI hadi wakurupuke leo kutoa hyo taarfa? Majungu hayaish yaan hadi TRA yaingia katka siasa!

Kweli watu wanakumbukumbu fupi au nini: Hivi wiki chache zilizopitwa mshahara wa Dr. Slaa tuliambiwa ni shilingi ngapi kwa mwezi? Mara zimeshuka kiasi hiki!?
 
Huyu Slaa PhD ya kanoni isiyoukuwa na digrii hata maja si ndio anajidai kutetea umma? Kumbe mwenyewe mbabaishaji halipi kodi? Looooo! Yatamshinda.

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. tangia wazazi wangu wanipeleke shule na kumaliza salama hakuna kipengele kinachosema kwamba mimi ndo ninayepaswa kupeleka kodi yangu TRA. Na ukaguzi ukifanyika siwezi ulizwa mimi mfanyakazi kwa nini sijalipa kodi. kama ingekuwa ni ivyo basi apo tra pasingetosha kwamba kila aliyeajiriwa anapeleka kodi yake. APO naomba uelewe vizuri wewe faiza na hao wenzako akina ofisa wa TRA.

hivi apo mzalendo na jambo leo hakuna ata mtu wa kuweza kufikiri au hao wahariri kaz zao ni nini pamoja na hapo TRA, mnatutangazia dr SLAA hajalipa kodi since 1992 wakati slaa kafika chadema 1995, na alikuwa mbunge, je iyo kodi ni ya kuanzia alipokuwa mbunge au?
it smell fishy like:dance:

Angalia chadema wanakuja kama ifuatavyo :mod: pisheni njia tuu vilaza nyie.
 
Ukiwa mbunge ,wewe ni mwajiriwa wa serikali ,unalipa kodi kama mfanyakzi ,yaani PAYE,ambayo in Income tax.

TRA watuambie vizuri,kama inakuwa politicized namma hii ,hii nihatari.

Kama Slaa ana biashara nyingine,basi watuambie.
 
Kweli watu wanakumbukumbu fupi au nini: Hivi wiki chache zilizopitwa mshahara wa Dr. Slaa tuliambiwa ni shilingi ngapi kwa mwezi? Mara zimeshuka kiasi hiki!?

Umeona mkuu hawa watu vichwani wanatumia mapapai,sio ubongo yaani wanalopoka tu hawaeleweki kabisa.
 
Kosa ni kutolipa kodi ni wajibu wa kila anayeingiza kipato alipe KODI hiyo haina itikadi. CDM na Dr. Slaa walikaa kimya wakitilia maanani udhaifu wa TRA. Sasa wamewagundua HIVYO wana CDM msilete za kuleta kalipeni kodi kesho J3 na FAINI.

Nyie mnaifanya serikali ishindwe kutekeleza majukumu ya kuhudumia watz ipasavyo.

Vinginevyo TRA wawasiliane na hazina ili RUZUKU wanayopewa ifidie deni lao, kwanza RUZUKU yenyewe wanaitumia kwa MAANDAMANO!!! :A S 103:
 
Yawezekana kuna tatizo kwenye kodi la kichama. Tatizo la gazeti la mlendo na watu wengine wa magamba wanataka kuhusisha kila jambo na Dk. Slaa kwa sababu ni mwiba kwao. Kuhusu kodi, kwani chama hakina Mkurugenzi wa Fedha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom