Mamndenyi tatizo Kongosho hajui urafiki wetu hatutukutana barabarani kwa bahati mbayaMr Rocky
you made my day,
thank you, thank you,
nafika hapo mlimani city once
pengine tutaonana baadae
Na Kongosho hapa kwa Mr Rocky haupati kitu
tena ungejua nilivyompata kwa shida wala usingesema,
neno 'i love you; kalisema kwangu tu,
tena hajawahi mbali na kulisema hukoooo ambako sitaki kupataja, Mr Rocky .......nakupenda.........
Ruhazwe JR hahahah ndio manake aiseMr Rocky kumbe wewe ndio baba yangu...shikamoo baba
Mr Rocky
you made my day,
thank you, thank you,
nafika hapo mlimani city once
pengine tutaonana baadae
Na Kongosho hapa kwa Mr Rocky haupati kitu
tena ungejua nilivyompata kwa shida wala usingesema,
neno 'i love you; kalisema kwangu tu,
tena hajawahi mbali na kulisema hukoooo ambako sitaki kupataja, Mr Rocky .......nakupenda.........
Baada ya nitonye kupata mtoto, mengi yaibuka, yadaiwa hata.mtoto wa KOKUTONA ni wake pia, hata mimba ya charminglady yatajwa, yasemekana ndo sababu ya charminglady kumkimbia C6 na ujauzito, yadaiwa aliogopa kuumbuka kwani katoto kangetoka kopiraiti na nitonye
Lisa heke abadilika na kua Francis mukandala
Kwa hiyo alikuwa na jinsia mbili ama?
Alikua ana wa hadaa watu kwenye jukwaa la love conect, akisema yeye ni jimama anataka serengeti boy duh!
Hizi pesa hizi,haiyumkini alikuwa anawaambia wamtumie nauli
Mr Rocky kumbe wewe ndio baba yangu...shikamoo baba
He he he, jifurahishe sasa
Hivi unajua kuna mbuyu nimeushusha? Sembuse huu mwembe?
Mamndenyi tatizo Kongosho hajui urafiki wetu hatutukutana barabarani kwa bahati mbaya
Tulipambana haswa kuuweka kwenye mstari halafu anakuja tuu from nowhere anataka apate ahueni kweetu Kongosho may be nenda kwa Erickb52 ana place ndani ya moyo wake iko open unaweza pata hifadhi
I love you Mamndenyi
Ruhazwe JR kumbe umefanikiwa kukutana na baba yako humu eeh, Mr Rocky ameamua kunitunza mimi mama yako,
unasemaje?
dah!mama unajua kuchagua,sio kama kipindi kile unamilikiwa na baba yangu wa kambo Arushaone kwa kweli ulikua umechemsha baba gani ana mahips...teh,teh,teh