Gazeti letu la Udaku JF..

Ndio hapo sasa! yeye tarifa zote hizo kuhusu ID yangu anazitakia nini, kama sio kuzipeleka kwa watu? Maana hawezi gather all that only to come and inform me about who I am! Alisema pia kua anajua alter ID yangu ni AshaDii na aka-insist kua kuna siku nilichanganya ma ID na nikajibu as Roulette wakati ilikua ni sehem ya AshaDii kujibu! Hapo alijiona kama sasa ndio ameni-convince kua yeye ni zaidi ya Jack Bauer! At this very point I blocked him, period!

Mie nimependa hapa tu...!!! sasa ngoja nami nidumishe umbea lol....alikua ni ME au KE???
Alikua mwanaume, ila facebook nako si kama JF tuu? kila mtu anajichagulia jinsia na profile picture.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, hakukutishia yeye ni usalama wa Taifa ya JF?

Duh, kwa hiyo yuko conviced wewe ni AshaDii? Lazima uwe 'VERE' smart kuwa hao watu wawili at per na kuwa mod at the same time.

 
Last edited by a moderator:
He he he, umepitiwa na usemi kuwa raha ya nyama ubadili kila mara

Leo swala, kesho nyati siku zinyine njiwa pori

Mamndenyi hapa anakupa presha na bp na total ili upate brain konkosheni tuu
hatoki mtu hapa kwako aise
@kongosho we uanze tuu au umfuate The Boss aliko mkarekonsile aise pale palipoharibika
 
He he he, umepitiwa na usemi kuwa raha ya nyama ubadili kila mara

Leo swala, kesho nyati siku zinyine njiwa pori

Mi nimependa nyama ile ile siku zote na huwa sibadilishi kabisa Kongosho
na ndo maana niko na Mamndenyi ila wewe naona nia yako sio kabisa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…