Ila tuache utani, JF kuna udaku kulik0o gazeti la SANI! I was shocked nipo zangu facebook naona mtu ananiomba urafiki. Nikamwambia mbona sikujui kaka? Jamaa alinambia yeye ananifaham sana (note that I don't even use my real name on FaceBook). Akasema I am Roulette wa JF, I am XXX wa twitter, I am XXX wa LinkedIn etc. Wakati bado nashangaa shangaa akanambia nisiwe na wasiwasi maana yeye anajua sana kutunza siri, mfano anajua fulani wa JF anadate fulani, anajua alter ID ya fulani ni fulani, anajua fulani anaishe sehem fulani etc. By the time I had recovered my senses I just blocked the guy! Kama hapo anajiona ni mtunzi wa siri sijui angekua mropokaji ingekuaje Yaa Illahi!
Cc
AshaDii