Gazeti letu la Udaku JF..

Umenifurahisha sana,
ingesema ndiyo tatizo la kuwa mtoto wa nje ya ndoa
ungenipa heshima yangu, ila hilo la kwa wajomba
utakuwa umenifananisha tu.

Hahahaha Mamndenyi naona siku hizi umekua. Yaani uaniita jina langu kavukavu badala ya kuanza na cheo Anko Asprin.

Si kosa lako, ndo madhara ya kulelewa na wajomba.
 
RussianRoulette aanza kuhaha, ni baada ya kugundua Kongosho kanasa PM zake nyeti.

Aomba ulinzi kwa Invisible, lakini Invy aruka kimamba. Akiri hata yeye roho mkononi kuhofia PM zake kuanikwa hadharani.

Kwa kujua PM za hawa wawili zina nini, tafadhali uaionsoke kwenye uzi huu.

Kongosho asababisha pressure ya Bishanga kwenda juu na sukari kwenda chini baada ya post yake ninayo inukuu hapa. Invisible akanusha kauli hili: hakuna PM zilizo changanya amwambia TANMO, mwandishi wetu wa habari.
 
Last edited by a moderator:
EMT, hujui kuwa maini ya ng'ombe mzee ndo yana madini ya chuma zaidi?

He he he, usije chekesha marehemu weye.

Kupata maini ya ng'ombe mzee ni sawa na kupata moto wa simba kwa mfugaji.

Kwani kuna ubaya gani kua mzee? si wote watazeeka tu? MziziMkavu, tatizo la EMT hataki kukubali miaka yake, anajifanya under 18... Old is Gold EMT, just accapt it utaona faida yake (talking from experience hapa)
 
Last edited by a moderator:
na maandamano haya yataanzia kituo cha mabasi ubungo, yatapitia Kigogo, kariakoo na kuishia viwanja vya Jangwani na kupokelewa na mkuu wa EMT ambaye ni Erotica, risala itasomwa na Mwali ana atakayeongoza maandamano mie mwenyewe.

Unatafuta maandamano mengine wewe
 
Last edited by a moderator:
na maandamano haya yataanzia kituo cha mabasi ubungo, yatapitia Kigogo, kariakoo na kuishia viwanja vya Jangwani na kupokelewa na mkuu wa EMT ambaye ni Erotica, risala itasomwa na Mwali ana atakayeongoza maandamano mie mwenyewe.



teh teh teh. EMT kisha muarifu Mwali kua mimi ni mkuu wake? :biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje FirstLady1? Nimemharibu Bishanga vibaya sana, sema tu alinunua magazeti yote ya udaku siku nilipotoa hiyo habari.

Kaa mkao wa kula, nina mpango wa kutoa picha zake mtandaoni akiwa katika pilika zake kule unga Ltd.

TANMO ..hakuna breaking news zozote katika kipindi hiki cha mpito...?

please Kongosho Na Bishanga hawajaharibu huko mtaani?maana JF huwa inawakeep busy
 
Last edited by a moderator:
Hiyo njia lol,
itabidi tukifika jangwani
tupate juisi ya miwa kwanza
kwa kuwa tutakuwa hoi.

na maandamano haya yataanzia kituo cha mabasi ubungo, yatapitia Kigogo, kariakoo na kuishia viwanja vya Jangwani na kupokelewa na mkuu wa EMT ambaye ni Erotica, risala itasomwa na Mwali ana atakayeongoza maandamano mie mwenyewe.
 
Mkuu TANMO,
hivi gazeti lako linatoka
kila baada ya muda gani mkuu.

 
Brekin nyuz:
Mama maresha awafumania aspirin na kongosho buibui gest haus.Kongosho ashushiwa kibondo cha nguvu,kalazwa mwananyamala.
Bishanga apigwa kibuti na Lizzy akiwa Unga Ltd....mh inauma
 
Inabidi atuletee la May...yote yaliyojiri mwezi mzima.. TANMO umetusoma?

TANMO
ni mhariri mkuu
ni mpiga picha
ni mchapishaji
ni msambazaji,
sijui itachukua siku ngapi kukamilisha gazeti la May
kila kitu kashikilia TANMO


Wakuu wangu, toleo la May mbona liko mtaani? Labda kama hamkuwa na taarifa..
Hebu fuateni hii link: JF Udaku Toleo la Mei 2012
Halafu Mamndenyi natafuta wasaidizi manake kazi kweli zimenizidi,
niko kwenye mazungumzo ya mwisho na Bishanga Abashaija (a.k.a Bepari la Kihaya) ili awe mdhamini wetu mkuu..
Kuna baadhi ya Terms ndiyo zinaleta mgogoro manake yeye anataka akitoa pesa yake basi Gazeti liwe linamwagia masifa kwenye kila toleo. tena anataka stori yake iwe inakava peji nzima.
 

Dadadadeki!
Nikajua umeniandika kwenye mgazeti wako, ingekukostije?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…