Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
@RussianRoulette kumbe humu J.F. kuna Vibabu @EMT Asprin na wengine wengi tu hahahaahah nimecheka sana..... Nimeamuwa na mimi kuchungulia hapa kwenye Udaku wa J.F. Leo.Nipo mkuu MziziMkavu...naona leo umeamua kulisoma tena gazeti letu la Udaku JF... Hivi ulipata habari kua EMT ni kibabu? Miaka yenyewe sio mbaya ila sasa anavo jifanya pedeshee humu ndani watoto hawakutegemea atakua wa 1947. hahahaha
@EMT dawa ya kupunguza Uzee fanya Mazoezi kila siku na uwe unakula tunda la Avocado kila siku asubuhi na jioni hata ukiwa na umri wa miaka 90 utaonekana mwenye umri wa miaka 40.MziziMkavu unayo dawa yoyote ya kupunga uzee.
Naona imeshakuwa nongwa sasa.
@EMT dawa ya kupunguza Uzee fanya Mazoezi kila siku na uwe unakula tunda la Avocado kila siku asubuhi na jioni hata ukiwa na umri wa miaka 90 utaonekana mwenye umri wa miaka 40.
@EMT kama upo kijijini wewe huhitaji mazoezi fanya lima kwa kutumia jembe kila wiki lima japo mara 3 kwa wiki tunda litafute ukiweza kula japo mara moja kila siku asubuhi inatosha tu mkuu.Aisee. Ngoja nianze fasta mazoezi. Mazoezi ya aina gani?
Ila sasa huku kijijini hilo tunda linapatika kwa msimu tuu.
Hakuna alternative.
MziziMkavu unayo dawa yoyote ya kupunga uzee.
Naona imeshakuwa nongwa sasa.
EMT na MziziMkavu, mi sina shida kabisa na miaka. Asprin mwenyewe ni mwenzangu wa miaka. labda Babu DC ndio amenizidi kidogo. I look my age and I behave like a person of my age would.
@RussianRoulette nana ni Mzee hapa kushinda wote Members? @EMT Au @Mzee Mwanakijij?EMT na MziziMkavu, mi sina shida kabisa na miaka. Asprin mwenyewe ni mwenzangu wa miaka. labda Babu DC ndio amenizidi kidogo. I look my age and I behave like a person of my age would.
@RussianRoulette nana ni Mzee hapa kushinda wote Members? @EMT Au @Mzee Mwanakijij?
Mzee Mwanakijiji picha yake hiyo
@RussianRoulette Kumbe naye @EMT ni kibabu? kasheshe kweli kumbe sisi wengine ni vijana nimecheka kweli mkuu:lol:
@EMT dawa ya kupunguza Uzee fanya Mazoezi kila siku na uwe unakula tunda la Avocado kila siku asubuhi na jioni hata ukiwa na umri wa miaka 90 utaonekana mwenye umri wa miaka 40.
@Mamndenyi wauzaji wa hili tunda watapandisha bei kuna mambo mengine hayafai kuzungumzwa wazi kwa sababu ya kupandisha vitu bei mkuu si unajuwa wafanya biashara ni wajanja sana.Asante Mkuu MziziMkavu,
itakuwa vizuri kama mhariri ataiweka hii kwenye kurasa za mwanzo,
itasaidia kupunguza makunyanzi na kuongeza ufanisi kwenye
idara ya nd oa za wana bodi mkuu.
We binti RussianRoulette........... nitake radhi kabla sijatema mate chini.....EMT na MziziMkavu, mi sina shida kabisa na miaka. Asprin mwenyewe ni mwenzangu wa miaka. labda Babu DC ndio amenizidi kidogo. I look my age and I behave like a person of my age would.
@Asprin Haitibu tena Maradhi ya kichwa imekuwa nzee tena hahahahah :lol::canada:We binti RussianRoulette........... nitake radhi kabla sijatema mate chini.....
Nakumbuka wakati mzee wako anamtokea mama yako mi ndo nlikuwa nampa mistari ya kuimbisha.... afu leo unasema eti mie ni mwezio kiumri. Ntaenda kukusemea kwa mama yako ambaye ni shem wangu. Rekebisha kauli yako EMT na MziziMkavu wanipe heshima yangu stahili.
Nshalijua hilo, ndo maana nikaanza kutengeneza ODM. Maumivu yakizidi, mwone ODM.@Asprin Haitibu tena Maradhi ya kichwa imekuwa nzee tena hahahahah :lol::canada:
@Mamndenyi wauzaji wa hili tunda watapandisha bei kuna mambo mengine hayafai kuzungumzwa wazi kwa sababu ya kupandisha vitu bei mkuu si unajuwa wafanya biashara ni wajanja sana.
Ahsante kwa taarifa. Hebu nipe namba zako za simu. Nakusubiri PM kule.Tatizo watu ni kutokukubali hivi vitu mkuu,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge
naongeza na habasoda kidogoo,
kweli ngozi yangu ni nyororo kama ya mtoto mchanga,
Kivyangu nakushukuru sana mkuu.
Sijambo mzazi mwenzangu MamndenyiHaa Haaaaa
Asprin Mzima wewe mkuu,
Ngozi atengeneze MziziMkavu pm
nikupe wewe, hapo ndo itakuwa ngumu sana mkuu.
Sijambo mzazi mwenzangu Mamndenyi
Hivi inakuwaje kama ngozi tu unagoma kwenda PM, yangekuwa macho si hata JF usinge log in? Khaa!
Vyovyote utakavyoamua, mi nakusubiri PM. Na usipokuja nafanya kampeni ya kutokugongea LIKE mpaka Yesu atakaporudi...