Gazeti letu la Udaku JF..

Ndoa ya Mzee mwanakijiji na Faiza Foxy hatarini kuvunjika ni baada ya bujibuji na Rejao kumfukuzia Faiza foxy kwa kasi ya ajabu.
MM afunguka asema kuwa wanajisumbua tu yeye na mkewe faiza foxy hadi kufa.
 
Nilishakwambia ni Shemale, 2 in 1
huelewi nini? Kutegemeana na hesabu za wakati huo huwa naamua nipeperushe jinsia ipi.

tatizo hi hili,
je ni 'ke' au 'me'
theboss naye yuko kimya.

TheFinest naye alikuwa anajikonga konga sijui kaishia wapi.
 
jtatu njema jamani nitawacheki badae loh mbavu zangu mie rejao take care baby
we smile wewe hivi unampenda rejao au unapenda mpua wake ambao umekaa ka mpiga filimbi wa hamelini?
 
"kaizer akutwa katika mtaro mkoa jirani baada ya kufakamia pombe alipokuwa amekwenda kwa matembezi w/end habari zaidi zitatolewa pindi muhusika atakapozinduka"
 
Haaaa haaa,
Mamito nilikuwa sijaiona hii jaman lol!
Hapa umeuwa wangu,
Umenikumbusha nina mda nimeiasi sn Bills lol!
Gazeti hili limeuza kupita kiac.
 
naona watu wengi wanadaadisi sana juu ya jinsia ya kongosho...sasa ngoja ntamvizia halafu nimfunue ile nguo yake....!!(sijui ni msuli au shuka lile..!?)...kisha ntakuja kuweka wazi hapa...ngoja tu..!!
 
Thanx darling...I love you too! Tuwe makini..kumbuka hapa tupo kwenye lisredi la Udaku! Tuangalie wasipate cha kuandika!!!

Rejao akamatwa na polisi,ahojiwa kwa masaa matatu,ni baada yakutamka kuwa invisible ni raia wa Iraq,Jf memba waja juu wataka rejao apigwe ban ya maisha.
 
jamani Eliza wa Tegeta anawasalimuni kwa saaaaaaaaana,anasema lile kombora la majuzi lilikuwa cha mtoto sasa kinamama wenzake atawashukia kwa tomahawk missile,anadai mmezidi kufuatilia mambo yake,mara oh anatembea na bishanga,inahuu???
 
Hebu endelea kutujuza habari zake...Umeenda kumficha wapi? sijamuona tena baada ya kurusha lile kombora!!
 
Nilidhani ungemuonea huruma bashaija...... Eliza wa tegeta ni bonge la Dume!
 
jamani Eliza wa Tegeta anawasalimuni kwa saaaaaaaaana,anasema lile kombora la majuzi lilikuwa cha mtoto sasa kinamama wenzake atawashukia kwa tomahawk missile,anadai mmezidi kufuatilia mambo yake,mara oh anatembea na bishanga,inahuu???
mwambie faiza foxy anamsalimia
 
Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10

mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo

safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu

hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?

AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...

huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…