Ibrah afunguka:Jamani, ama kweli duniani kuna mambo, kuna vioja na viroja. Thread hii sikuifungua kabisa maana heading yake haikunivutia, nimeshangaa inakwenda kasi na leo nikaifungua. Nimecheka sanaaa, humu JF kuna watu wa aina zote, nadhani hata Mateja mmo. Nashukuru niko peke yangu chumbani, ningeonekana chizi kabisa.
Kweli, JF is never boring!
Thread ikikuta wachakachuzi kaaazi Kweli kweli.... Ngoja nisome kwanza maudaku yoote toka nilipo ishia! Khaaa!!
Posho za wabunge: AshaaDii ahamia Dodoma.
Sakata la posho za wabunge limeingia ktk sura mpya baada ya dada maarufu hapa mjini, anayefahamika kwa jina la AshaDii kuhamia Dodoma. Asema hawezi kubaki mjini wakati pesa zipo dodoma.
Habari kamili uk 85285.uk
AshaDii atetea uamuzi wake wa kuhamia dodoma hadi bunge litakapokutwa rasmi, azidi kusisitiza ni rahisi zaidi kula pesa za wabunge kuliko "majembe" ya kitaa.
Habari zazidi ongeza pia AshaDii kachukua wanaintelligensia wa jf (majina kapuni mpaka baadae kwa usalama) kuhakikisha wanafanikiwa zoezi la kukusanya pesa zoooote ili agawe pale kwa members woote wa JF ambao hawajawahi kulamba BAN. Ateua Faiza Foxy na PAW kushirikiana katika sakata la kugawa huo mpunga!
Tapeli la kimataifa lakamatwa boda ya msumbiji: police nchini Tanzania wafanikiwa kulikamata lile tapeli la kimataifa lijulikanalo kwa jina la klorokwini, tapeli huyo alikamatwa jana sa 6 usiku wakati akijaribu kutorokea msumbiji, police wanasema wamemkamata akiwa amebeba nywele za bandia za kina dada maarufu kama Wigi, vipodozi feki, kucha bandia, lipstick feki kutoka china katika kumpekua zaidi police walifanikiwa pia kumkuta na miguu ya albino, alipobanwa zaidi aeleze alipopata miguu hiyo alisema kuwa ameuziwa na mwenzie ajulikanae kwa jina la Uporoto, police wanaendelea na msako wao mpaka pale watakapofanikiwa kumtia mbaroni Uporoto...klorokwini yupo ndani na dhamana imekataliwa kulingana na uzito wa kesi...Sweetlady aibuka na sharobaro la kigamboni, Penzi lao la wizi laanikwa mitandaoni
Gazeti letu limefanikiwa kuunasa ule mkanda wa faifu star unaomuonesha sweetlady akijivinjari na sharobaro wake wa kigamboni. Starring wa habari hii ambae alilitaka gazeti hili kutokuweka jina lake hazarani alilipatia gazeti hili kopi moja na kulisibitishia gazeti hili kuwa mkanda huo umezagaa kila kona za jiji likiwemo soko la kariakoo, Gazeti hili lilivuta uzi kumuendea sweetlady hewani lakini alionekana kukosa ushirikiano na kujibu kitarabu tarabu "Na mtasema sana" halafu alikata simu kwa kumalizia na kicheko cha pwani.
Shuka na fulu mkanda wa sweetlady
habari zilizotufikia hivi punde, Faiza Foxy amekataa mwaliko wa AshaDii, asema pesa zina najisi. PAW ashangilia.
Imebainika kuwa yule mfanya biashara maarufu ajulikanae kwa jina la Bishanga ni tapeli wa kiroho...hayo yamesemwa jana na mchungaji Masanilo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.. Masanilo aliweka wazi kuwa ameamua kumfukuzia mbali Bishanga manake amegundua kuwa anawapotosha kondoo wake wa jinsia ya kike kwa kuwahadaa na vijisenti alivyonavyo...alisema amekuwa na tabia ya kubadili wasichana wa kanisa lake kila kukicha hali ambayo amesema inalichafua kanisa lake...katika kupata ukweli wa habari mwandishi wetu ajulikanae kwa jina la The Finest alijaribu kumpipia Bishanga simu bila mafanikio, simu yake ilikuwa inaita mda wote bila kupokelewa...habari kamili:
polisi mjini bukoba wameripoti taarifa ya fumanizi,wakieleza tukio zima wamesema dada mmoja ajulikanaye kwa jina la SL amefumaniwa hotel ya kolping akiwa na mme wa mtu aitwaye TF,katika sakata hilo bi SL inasemekana aliokolewa na mfanyabiashara maarufu Bishanga ambaye alimchukua na kuingia naye chumbani kwake hoteli jirani ya walkguard,taarifa kamili baadae.
Habari zazidi ongeza pia AshaDii kachukua wanaintelligensia wa jf (majina kapuni mpaka baadae kwa usalama) kuhakikisha wanafanikiwa zoezi la kukusanya pesa zoooote ili agawe pale kwa members woote wa JF ambao hawajawahi kulamba BAN. Ateua Faiza Foxy na PAW kushirikiana katika sakata la kugawa huo mpunga!
Ashadii asutwa kwa style ya aina yake: yule dada maarufu hapa mjini ajulikanae kwa jina la Ashadii jana alionja joto ya jiwe baada ya kuvamia kitchen party ya dada mmoja ajulikanae kwa jina la King'asti, mleta habari wetu Afrodenzi anasema Ashadii aliwekwa mtu kati na wadada wawili ( bht na Gaijin ) na kumtaka aeleze kisa cha kuvamia kitchen party ya King'asti, akijaribu kujitetea dada huyo alisema kuwa alikuwa katika harakati za kumtafuta mume wake ajulikanae kwa jina la Kaizer, eti amepotea nyumbani siku 5 na hajui alipo ndipo wasutaji hao walianza kumshushia kipondo na kumtaka aeleze toka lini wanaume wakaingia kwenye kichen party....hata hivyo aliokolewa na kaka mmoja aitwae Asprin ambae alijitambulisha kuwa ashadii ni shemeji yake.... Mpaka tunakwenda mitamboni Ashadii hakuweza kupatikana kuzungumzia undani wa tukio hilo, simu yake haikuweza kupatikana...Habari zaidi zaongeza na kutoa udaku kua mabinti wale bingwa kwa umbea (Husny, Sweet Lady & Smiles) wametoa siri kubwa.... FF hakohoi mbele ya Rev Masanilo kwa Big CRUSH alonayo juu ya Mchungaji huyo. Rev akiambatana na Matola wamlainisha FF... Faiza asikika akisema kwa sauti nyororo... "Pesa isha twaharishwa sina budi kukubali kushirikiana na Paw" Paw Kwa HASIRA Kajipiga BAN!:yawn:
Habari zaidi zaongeza na kutoa udaku kua mabinti wale bingwa kwa umbea (Husny, Sweet Lady & Smiles) wametoa siri kubwa.... FF hakohoi mbele ya Rev Masanilo kwa Big CRUSH alonayo juu ya Mchungaji huyo. Rev akiambatana na Matola wamlainisha FF... Faiza asikika akisema kwa sauti nyororo... "Pesa isha twaharishwa sina budi kukubali kushirikiana na Paw" Paw Kwa HASIRA Kajipiga BAN!:yawn:
SAKATA LA POSHO ZA WABUNGE LAIBUKA UPYA: watu wahoji kwa nin Ashadii kuziwinda pesa hizo kwa nguvu mpaka kahamia dodoma? Waandishi watinga nyumban kwa ashadii wapigwa mawe na ashadii..asema waandishi hawamjui hawajui,waache kumfuatilia..kisha aingia mitini..gazeti laapa kufuatilia undani wa ashadii kuzisaka posho hizi kwa udi na uvumba na kuzianika hadharani pindi zitakapopatikana..
Ashadii asutwa kwa style ya aina yake: yule dada maarufu hapa mjini ajulikanae kwa jina la Ashadii jana alionja joto ya jiwe baada ya kuvamia kitchen party ya dada mmoja ajulikanae kwa jina la King'asti, mleta habari wetu Afrodenzi anasema Ashadii aliwekwa mtu kati na wadada wawili ( bht na Gaijin ) na kumtaka aeleze kisa cha kuvamia kitchen party ya King'asti, akijaribu kujitetea dada huyo alisema kuwa alikuwa katika harakati za kumtafuta mume wake ajulikanae kwa jina la Kaizer, eti amepotea nyumbani siku 5 na hajui alipo ndipo wasutaji hao walianza kumshushia kipondo na kumtaka aeleze toka lini wanaume wakaingia kwenye kichen party....hata hivyo aliokolewa na kaka mmoja aitwae Asprin ambae alijitambulisha kuwa ashadii ni shemeji yake.... Mpaka tunakwenda mitamboni Ashadii hakuweza kupatikana kuzungumzia undani wa tukio hilo, simu yake haikuweza kupatikana...
Mzee atimuliwa uwanja wa Taifa: yule kada maarufu wa ccm ajulikanae kwa jina la mzee amejikuta katika wakati mgumu uwanja wa Taifa baada ya kutinga uwanjani akiwa amevalia gwanda za CDM.... Imefahamika kuwa mzee na CDM ni kama uji na mgonjwa hali iliyowashtua makada wenzie Rejao na ritz manake wao walifikiri ni mwenzao....habari kamili uk 3habari zaidi zinasema kuwa AshaDii hapatani kabisa na rafki wake wa karibu Husninyo. Kisa ahofia husninyo kumuharibia maslahi Dodoma.
Pia imefahamika kuwa kwasasa The Boss yupo hoi hospital baada ya kumtongoza mama mkwe wake kupitia Pm. Aomba huduma ya pm ifutwe. Asema haikuwa dhamira yake.
Rejao nae atangaza vita na Bishanga ni baada ya kunyang'anywa penzi la sweatlady. Bishanga asema kama noma na iwe noma. Invisible nae atangaza hali ya hatari, ni baada ya kutoswa na mamdenyi, asema atawalima ban wote waliosababisha.
habari zaidi zinasema kuwa AshaDii hapatani kabisa na rafki wake wa karibu Husninyo. Kisa ahofia husninyo kumuharibia maslahi Dodoma.
Pia imefahamika kuwa kwasasa The Boss yupo hoi hospital baada ya kumtongoza mama mkwe wake kupitia Pm. Aomba huduma ya pm ifutwe. Asema haikuwa dhamira yake.
Rejao nae atangaza vita na Bishanga ni baada ya kunyang'anywa penzi la sweatlady. Bishanga asema kama noma na iwe noma. Invisible nae atangaza hali ya hatari, ni baada ya kutoswa na mamdenyi, asema atawalima ban wote waliosababisha.
Na hivi AshaDii anapenda kucheka.... Hapo kacheka mpaka basi, yupo kuomba ruhusa kwa mwandani wake (Kaizer) kwa chakula cha mchana! Ili walau Mzee aje aonje mapishi yake! Lmao....
Baada ya Sweetie wa AshaDii aka Kaizer kusoma huu udaku na kushangaa saana maana huyo mkewe hayuko hivo; Aliweza baini kua hao wanahabari walikosea nyumba na kuingia nyumba ya Gaijin ambae tokana na kuletewa habari ambazo hazieleweki na paparazi hao aliamua kuwarushia mawe. Gaijin katangaza dau kwa yeyote atae taja majina ya waandishi hao!
Mzee atimuliwa uwanja wa Taifa: yule kada maarufu wa ccm ajulikanae kwa jina la mzee amejikuta katika wakati mgumu uwanja wa Taifa baada ya kutinga uwanjani akiwa amevalia gwanda za CDM.... Imefahamika kuwa mzee na CDM ni kama uji na mgonjwa hali iliyowashtua makada wenzie Rejao na ritz manake wao walifikiri ni mwenzao....habari kamili uk 3