CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Jana bahati nzuri nimesikiliza mwenyewe kongamano la KIVAZI cha Mwalimu Nyerere. Nilikuwa makini kusikiliza nini kinaongelewa. Ajabu ni kuwa kichwa kikubwa cha UHURU wameandika kuwa "Wanazuoni wamuunga mkono /wamfagilia JPM (something of that nature) . Si kweli, ni mshiriki mmoja tu aliyemuunga mkono JPM na kwa kujua kuwa he is against the majority alitanguliza kuomba radhi.
Prof Kilian alimuunga mkono kuwa tumpe muda na kusema katiba inamruhusu kutumbua, lakini naye alikuwa na worries kidogo namna Katiba na sheria zisivyofuatwa! Otherwise the rest were not happy with the way the current government is fairing; apart from fighting corruption, which was applauded, they insisted the rule of law to be observed and avoid arbitrariness ! !