Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.

Wana ccm aka magamba chekeleeni tu, lakini jamaa ndio kashika mpini wengine wote mmeshika makali sasa kazi kwenu, hakuna mjanja kati yenu zaidi yake, hata mkuu wa kaya.
Lazima tujue akilini kuwa huyu jamaa alikuwa waziri mkuu na ndiye kamwingiza JK madarakani hivyo anajua rafu zote zilivyochezwa so itakua mbwai kwa mkuu wa kaya kama akijibu mapigo.