Hivi hilo gazeti lipo bado😭😭😭😭😭😭Kitendo chagazeti la Uhuru kusema TEC inatumiwa na mabeberu ni kitendo cha kulaaniwa. TEC ni sehemu ya kanisa na kanisa ni sehemu ya wananchi hivyo kinachotolewa kinakuwa ni toka kwa wananchi hivyo mnaposema wanatumiwa na mabeberu ni kwamba wananchi wanatumiwa na mabeberu.
Gazeti la Uhuru TEC si Chadema ambayo ikiwajibu mtawatuma polisi wawakamate.
Pia soma > TEC: Ndani ya miezi 2, zaidi ya mapadri 25, Watawa 60 wamefariki kwa tatizo la kupumua. Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu kuwajibika
Nunua gazeti la Uhuru.
Ooooh nimeona hayo maneno ya kebehi kwenye toilet paperKitendo chagazeti la Uhuru kusema TEC inatumiwa na mabeberu ni kitendo cha kulaaniwa. TEC ni sehemu ya kanisa na kanisa ni sehemu ya wananchi hivyo kinachotolewa kinakuwa ni toka kwa wananchi hivyo mnaposema wanatumiwa na mabeberu ni kwamba wananchi wanatumiwa na mabeberu.
Gazeti la Uhuru TEC si Chadema ambayo ikiwajibu mtawatuma polisi wawakamate.
Pia soma > TEC: Ndani ya miezi 2, zaidi ya mapadri 25, Watawa 60 wamefariki kwa tatizo la kupumua. Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu kuwajibika
Ndiyo, nia yao ni kuichafua Tanzania, kumbuka alipougua Maalim ACT Wazalendo ilisemwa kuwa inajitafutia umaarufu wa kisiasa!Hata hawa wanaokufa na kuugua CORONA wametumwa na Mabeberu itakuwa..😀😀
By Robert Nesta MarleyRoman Catholic babylon, chant down Babylon
Huo ndio msimamo wa CCM ukichanganya na maneno ya Dr. Assad. Baadhi ya nchi tangu mwanzo zilipiga marufuku siasa kwenye Korona ila sisi tuliamua kuwa ni mtaji kwa chama tawala kujipatia umaarufu!Ooooh nimeona hayo maneno ya kebehi kwenye toilet paper
Kama wameweza kwenye kura watashindwa nini kuwashinda mabeberu.Vita hii hawataiweza
Wanashindana na kanisa lenye miaka 2000?
Wamejenga uaminifu kwa miaka zaidi ya 2000,halafu kiserikali kilichopata kura tangu last october eti kija kishindane nao?
Plus these fools just do not know hizi dini zina power kubwa mno
Wanadamu wanaziamini zaidi ya maserikali yao,they just dont know kabisa
These fools are going into shitty waters!
Hizo dini zenyewe huko zilipoanzia wenyeji wamezipotezea ni sie tu masikini wa afrika ndo tunakomalia madini ya watu ambayo hata wenyewe huko wanayapotezeaVita hii hawataiweza
Wanashindana na kanisa lenye miaka 2000?
Wamejenga uaminifu kwa miaka zaidi ya 2000,halafu kiserikali kilichopata kura tangu last october eti kija kishindane nao?
Plus these fools just do not know hizi dini zina power kubwa mno
Wanadamu wanaziamini zaidi ya maserikali yao,they just dont know kabisa
These fools are going into shitty waters!
Wakatoliki wamebaki na nguvu afrika tu na huko latin amerika ambako nao watu wanaanza kuwapotezea .....huko ulaya na marekani waamini dini wapo wengi ila sio waamini ukatoliki hili kanisa mtu ukiamka huwezi kuliamini kabisa labda uwe popomaWamezitupa maana wameendelea,na sisi tukivuka middle class stage dini ndio itaanza kupungua
USA ni zaidi ya asilimia 84% wanaamini dini kwa nguvu kubwa
Europe asilimia ndio ipo chini kidogo japo ni above 60%
Sasa Africa na Asia ya kati ni 100% wanaamini tena katika level ya extremism..
Sasa wewe kiutawala chako kimeingia juzi last October unashinda na golbal conglomerate kama haya madini na wananchi wanawaamini kupita maelezo kuliko wewe rais,sasa sijui unataka kujidhalilisha?
Over the course of centuries,watawala mbalimbali duniani walifanya huu upumbavu hii serikali inataka kufanya against hizi dini lakini walifeli vibaya mno