Gazeti la Uhuru, jueni TEC si CHADEMA

Gazeti la Uhuru, jueni TEC si CHADEMA

kumbe wanajitoa ufahamu korona haipo kwa sababu dozi inauzwa sh.45000?

hiyo gharama inafanana na uhai unaopotea?nyambaff..
Cha ajabu wanatumia maji ya bomba la Dawasco ambayo si salama, pia utengenezaji wake hauko kwenye usafi wa kimaabara, anayejua hawezi kuinywa.
 
Kitendo cha gazeti la Uhuru kusema TEC inatumiwa na mabeberu ni kitendo cha kulaaniwa. TEC ni sehemu ya kanisa na kanisa ni sehemu ya wananchi hivyo kinachotolewa kinakuwa ni toka kwa wananchi hivyo mnaposema wanatumiwa na mabeberu ni kwamba wananchi wanatumiwa na mabeberu.

Gazeti la Uhuru TEC si CHADEMA ambayo ikiwajibu mtawatuma polisi wawakamate.

Pia soma > TEC: Ndani ya miezi 2, zaidi ya mapadri 25, Watawa 60 wamefariki kwa tatizo la kupumua. Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu kuwajibika
Hakuna Media hapa nchini Tanzania inayoongoza kwa kuwa na Watu Wapumbavu kama hii uliyoitaja hapa.
 
N

Noted
 
Mkuu

Naona hata hujui mandate na will of the people

Mnatawala,watu hawawakubali,thats why mnachanganyikiwa no one is supporting you bums!

Kwahiyo wananchi wasipowasapoti eti watalala hawana jipya,nigga you are just clueless,unaongea kama mkichaa tu

Rulling people who do not approve you is the hardest thing to do on this earth,unaongea tu wewe clueless chump.

I'm done with your ignorant ass
This is Africa blaza futa mawazo yako ya elimu za kibepari face the reality........viingereza uchwara viingi na bado mnachezea mpapaso. Nyie mtaishia tu kwenye keyboard hamna madhara
 
Kamu uhuru Haina effect kajalida hako mwisho kwenye makorido ya CCM tu basi.
Mtu mwenye akili timamu hawezi nunua gazeti la uhuru.
Vipi musiba mulaga baada ya kunyimwa ruzuku vikaratasi vyake vya kufungia vitumbua vipo mtaani kweli?
 
CCM lazima mjifunze kusikiliza mawazo mbadala; haiwezekani kuwa nyie ndio wenye mawazo sahihi kila wakati! Wenye akili hawawezi kukaa kimya wakati upuuzi wenu unaliangamiza Taifa kwa ushirikina wenu!
Wao kafara kwao ni ibada awajaanza kutoa leo.Suala la afya ni la binafsi.
 
Hakuna Media hapa nchini Tanzania inayoongoza kwa kuwa na Watu Wapumbavu kama hii uliyoitaja hapa.
Gazeti la Uhuru lipo kwa ajili ya propaganda za kisiasa, propaganda za siasa ujuzi wake ni jinsi unavyoweza kucheza na ulimi mbele ya wajinga hivyo hauhitaji elimu wala ujuzi wa uandishi wa habari. Wakati tunashituka watu wanne waliofariki kwa wakati mmoja kwa kuambukizana, MTU wa propaganda anakuja na hoja ya kijinga kuwa mbona nimonia nayo inaua! Hivi ni ukweli nimonia, malaria, pumu na mengineyo yanaambukiza na kuua kama Korona? Hawa wenye maradhi niliyoyataja tumekuwa tukiishi nao na hawatuambukizi na endapo utaambukiza ni kupitia kiumbekati mfano mbu au nzi.
Kumbuka maisha yako ni jukumu lako.,
 
Mkuu na wewe umekosa la kusema tu. Yaani gazeti Uhuru?? Nani anafuatilia hiyo takataka?
 
Wewe unaliona takataka lakini kunawatu hauwaambii chochote kuhusu gazeti hilo, wao ndilo mkombozi wao kihabari.
 
Gazeti lenye Uhuru, mkuu hukuwa na haja ya kupoteza muda wako, kwani kuna mtu anasoma hilo gazeti!!!
Ninaamini viongozi wote wakuu wa CCM na ofisi za serikali lazima walisome gazeti hili.
 
Kitendo cha gazeti la Uhuru kusema TEC inatumiwa na mabeberu ni kitendo cha kulaaniwa. TEC ni sehemu ya kanisa na kanisa ni sehemu ya wananchi hivyo kinachotolewa kinakuwa ni toka kwa wananchi hivyo mnaposema wanatumiwa na mabeberu ni kwamba wananchi wanatumiwa na mabeberu.

Gazeti la Uhuru TEC si CHADEMA ambayo ikiwajibu mtawatuma polisi wawakamate.

Pia soma > TEC: Ndani ya miezi 2, zaidi ya mapadri 25, Watawa 60 wamefariki kwa tatizo la kupumua. Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu kuwajibika
Askofu Ruwaichi na Padri Kitima na kundi lao wanataka kufanya TEC tawi la Chadema inajulikana muda mrefu lakini hawataweza wanapoteza muda wao tu. Muulizeni Ruwaichi mwaka 2015 pale TEC Kurasini alikutana na wanachadema wakati akiwa Askofu wa Mwanza akawaahidi eti Mwanza watashinda kwa kuwa wanakanda ya ziwa hawajitambui. Muulizeni kilichotokea nini huko Mwanza kanda ya ziwa? Hata huu mpango wao wameshashindwa kabla ya muda sana sana wachukue tu hizo pesa za mabeberu ili wawekeze TZ. CCM ni Chama Dume!!
 
Mkuu na wewe umekosa la kusema tu. Yaani gazeti Uhuru?? Nani anafuatilia hiyo takataka?
Hufuatilii wewe kwa taarifa yako ndiyo gazeti linalosomwa na watoa maamuzi wa nchi hii hivyo ukiona kimeandikwa kitu kule jua kinafanyiwa kazi moja kwa moja na serikali.
 
Kwahiyo kwavile ni Africa then ni sawa tukiwa wapumbavu kama unavyosema?

Kwahiyo Africa hatuna haki ya kua werevu na free and productive human beings the world can rely on?

Sisi Africa tumezaliwa tuwe wapumbavu,tusiokua na akili,tuonewe na serikali zetu za madikteta na mapumbavu?

Kwahiyo wewe umeweka very low standard for Africans kiasi hiki?

Hujui hata Kiswahili,eti "blaza" kuna lugha ya "blaza" dunia hii?

Mapumbavu kama wewe ndio mna shida kubwa ya matumizi ya R pahali wewe unaweka L,yaani ni very poor communications ability!

Ubepari ndio mfumo sahihi hapa duniani,well proven na nchi yako inafanya ubepari japo ni ubepari uchwara as we speak,hutaki andamana.Kenya they are doing great capitalism ndio maana wanatuzidi kila siku

All capitalist countries wameendelea kuliko Tanzania,thats a fact,do capitalism or die!

Wewe kusema nitoe mawazo ya kibepari unaonesha kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu na huamini katika wanadamu kujijengea mali na kujiendeleza kukabiliana na maisha kupata the highest human comfort as possible.Bado upo kwenye a stupid system ya communism iliyokwisha feli mara elfu kadhaa

Ni vituko mtu ulieenda shule ukasoma sawa sawa unaogopa Kingereza

Kama mtu anaongea Kingereza wewe unakasirika infact it speaks about yourself kwamba hujui Kingereza kiasi kwamba mpaka unachukia

Wanajua Kingereza usiwaonee wivu,jionee huruma wewe mpumbavu ulieenda shule miaka 14 ila hujui Kingereza

Umeruka hoja zote nilizosema,umeona Kingereza....Kingereza scares you to death mpaka umeona ulaumu kwa mtu kuongea

Kama hujui Kingereza ni wewe pekee yako na uzembe wako wewe binafsi usipakazie wengine

Hupendi comments za Kingereza ruka,nenda kwenye Viswahili ambavyo infact hujui kabisa maana unaita brother "blaza",what a stupid chump

Magufuli ana bunch of very stupid people who dont know anything on this planet kama wewe eti ndio watetezi wake

Unachokiona online ni representation na reflection ya kilichopo offline,hivyo dont get twisted kabisa!

Na kumbuka 30mil people are online ni half ya population yote....Kama nusu ya wananchi wote nchini hawawapendi wala kuwasikia,you motherfvckers hamjui mnachokifanya maana hakuna mwananchi ana approve what stupidity you bums are peddling

Mimi nipo kwenye keyboard na wewe upo kwenye keyboard,halafu unamcheka mwenzio aliyeko kwenye keyboard kama wewe...Yaani nyani haoni kundule?
Acha kuandika magazeti ishu ni kwamba African problems require African solutions shida mnataka ku copy na kupaste mambo ya mataifa ambayo yalijitambua miaka zaidi hata ya 100 huko wakati huku mataifa mengi ndo kwanza watu wake wanatolewa tongotongo.....hatupo level sawa na hao mnaotaka twende nao sawa mambo yetu tutayamaliza kwa kujiangalia sisi wenyewe tokana na tamaduni zetu na tuliyojifunza tokea hawa mabeberu walipotutawala.....hizo zenu zitabaki kua tu ngonjera za mitandaoni hamtafanikiwa kwa chochote sababu mnataka kuiga msiyoyaelewa.........povu jema na gazeti jema
 
Acha kuandika magazeti ishu ni kwamba African problems require African resolutions shida mnataka ku copy na kupaste mambo ya mataifa ambayo yalijitambua miaka zaidi hata ya 100 huko wakati huku mataifa mengi ndo kwanza watu wake wanatolewa tongotongo.....hatupo level sawa na hao mnaotaka twende nao sawa mambo yetu tutayamaliza kwa kujiangalia sisi wenyewe tokana na tamaduni zetu na tuliyojifunza tokea hawa mabeberu walipotutawala.....hizo zenu zitabaki kua tu ngonjera za mitandaoni hamtafanikiwa kwa chochote sababu mnataka kuiga msiyoyaelewa.........povu jema na gazeti jema
Nadhani ulitakiwa kusema 'solutions' sio 'resolutions'
 
Ninaamini viongozi wote wakuu wa CCM na ofisi za serikali lazima walisome gazeti hili.
Hahahaaaa, hapo ni sawa na kuchukua habari mfuko wa kushoto na kuitumbukiza kulia ...habari within the same circle
 
Kwahiyo kwavile ni Africa then ni sawa tukiwa wapumbavu kama unavyosema?

Kwahiyo Africa hatuna haki ya kua werevu na free and productive human beings the world can rely on?

Sisi Africa tumezaliwa tuwe wapumbavu,tusiokua na akili,tuonewe na serikali zetu za madikteta na mapumbavu?

Kwahiyo wewe umeweka very low standard for Africans kiasi hiki?

Hujui hata Kiswahili,eti "blaza" kuna lugha ya "blaza" dunia hii?

Mapumbavu kama wewe ndio mna shida kubwa ya matumizi ya R pahali wewe unaweka L,yaani ni very poor communications ability!

Ubepari ndio mfumo sahihi hapa duniani,well proven na nchi yako inafanya ubepari japo ni ubepari uchwara as we speak,hutaki andamana.Kenya they are doing great capitalism ndio maana wanatuzidi kila siku

All capitalist countries wameendelea kuliko Tanzania,thats a fact,do capitalism or die!

Wewe kusema nitoe mawazo ya kibepari unaonesha kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu na huamini katika wanadamu kujijengea mali na kujiendeleza kukabiliana na maisha kupata the highest human comfort as possible.Bado upo kwenye a stupid system ya communism iliyokwisha feli mara elfu kadhaa

Ni vituko mtu ulieenda shule ukasoma sawa sawa unaogopa Kingereza

Kama mtu anaongea Kingereza wewe unakasirika infact it speaks about yourself kwamba hujui Kingereza kiasi kwamba mpaka unachukia

Wanajua Kingereza usiwaonee wivu,jionee huruma wewe mpumbavu ulieenda shule miaka 14 ila hujui Kingereza

Umeruka hoja zote nilizosema,umeona Kingereza....Kingereza scares you to death mpaka umeona ulaumu kwa mtu kuongea

Kama hujui Kingereza ni wewe pekee yako na uzembe wako wewe binafsi usipakazie wengine

Hupendi comments za Kingereza ruka,nenda kwenye Viswahili ambavyo infact hujui kabisa maana unaita brother "blaza",what a stupid chump

Magufuli ana bunch of very stupid people who dont know anything on this planet kama wewe eti ndio watetezi wake

Unachokiona online ni representation na reflection ya kilichopo offline,hivyo dont get twisted kabisa!

Na kumbuka 30mil people are online ni half ya population yote....Kama nusu ya wananchi wote nchini hawawapendi wala kuwasikia,you motherfvckers hamjui mnachokifanya maana hakuna mwananchi ana approve what stupidity you bums are peddling

Mimi nipo kwenye keyboard na wewe upo kwenye keyboard,halafu unamcheka mwenzio aliyeko kwenye keyboard kama wewe...Yaani nyani haoni kundule?
Hivi mkuu bado upo nilifikiri umeshaondoka na corona sijakusikia siku nyingi baada ya uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom