Gazeti la Uhuru, jueni TEC si CHADEMA

Gazeti la Uhuru, jueni TEC si CHADEMA

Ukiona mwandishi kanjanja hajalipwa mshahara miezi zaidi ya sita na bado yupo tu hapohapo na wala halalamiki unategemea atakua na akili sawasawa kweli sio kosa lao jamani
 
Haka kajarida ka CCM kashapoteza dira na mwelekeo muda saana tu!!
 
Unafeli pale unapochukulia ukatoliki tu

Hapa tunachukulia dini zote na zipo pamoja kuinyoosha serikali

Dini zote sio RC,sio Pentecoste sio Anglican sio Protestant,sio Uislam sio etc

Wote hawa wapo against the govt kwa sasa,waumini wao wakiumizwa na serikali wanapata hasara wao,hawawezi kukubali huo upumbavu

Kama unachukulia ni Katoliki tu nadhani upo very myopic

Hawa watu wanafanya biashara moja,na dini zao zina profound effect kwa wanadamu hawa hawa,na wana control maisha yao mpaka mioyo yao mpaka what they are thinking and not thinking,hizi dini zina interest moja ndio maana wapo pamoja

Wanaelewana kushinda unavyodhani wewe....

Wewe unadhani ni govt against RC tu?Una matatizo makubwa

Hata hivyo govt against RC pekee yake govt have no chance whatsoever.......

Boss wa RC Papa can call Biden and tell him to take care of mawe and hizi cronies and it wont take a week watatanua miguu wenyewe.

Hivi unadhani hii dunia inaendeshwa na mawe?You are deadly wrong
Hahhaa ndoto za mchana ....endelea kuota kanisa halina nguvu kiasi hiko unachojiaminisha hayo yalikua enzi hizo sio sasa eti can call Biden.....wanafiki tu hapo congo walitaka kuweka kibaraka wao wakachezea za uso wakatulia walim call nani?
 
Hawa CCM iko siku watamlaumu Yesu na kumuita Beberu
Wako desperate sana wamelewa madaraka
yeye kitima baada ya kutoa tamko je corona imeisha au yeye kama anataka si avae hizo barakoa za mabeberu asitutishe asitutishe in maalim seif voice
 
Si walituambia huyu mjomba wa sasa katumwa na mungu .....😂😂😂
 
Mnataka mawazo mbadala...Mmeyapata mnabwatuka. Au mawazo mbadala sharti irandane na itikadi zenu za kiharakati kila uchao?
Ebu tuliza kidonda hicho kiweze kupona kisiingize vumbi ukapata pepopunda
 
kumbe wanajitoa ufahamu korona haipo kwa sababu dozi inauzwa sh.45000?

hiyo gharama inafanana na uhai unaopotea?nyambaff..
Wanasema hii ni vita ya kiuchumi eiiiiiiiii
Tunatakaa Tz iwe kama Urayaa
 
These people own your citizens souls

Nothing you can do

Unajidanganya tu....wanachofanya ni ku-turn your own citizens against you....Utafanya nini?

Nothing
Ishu maslahi tu mbona hata wao wanatumika na serikali pia kupumbaza wananchi ishu ni kwamba na wao baadhi wameminywa lazima wanune kama wana own their souls walete fyokofyoko kama za Congo wapate majibu
 
Maslahi gani?

Serikali inalipa makasisi na mashehe pesa?

Wameminywa nini?hakuna dini imeminywa ni kwamba huwezi minya waumini wao maana kula yao ipo kwa waumini wala sio serikali

Serikali sio tajiri kama wananchi

Dini zinategemea wananchi kuweza kuwepo na wala sio serikali,serikali haina hela ya kugawa kwa dini,hela hiyo hawana

Wananchi ndio kila kitu kwa hizi dini,sasa serikali inapotaka kuminya wananchi ambao ni chanzo cha uhai wa makanisa na misikiti kipesa na ki kila kitu ni lazima yawe upande wa wananchi upende usipende.

Serikali ipo hovyo kwa kila kitu,makanisa hayawezi kwenda kinyume na wananchi mzee.

Wananchi ni wa dini,dini ina power zaidi ya serikali juu ya wanadamu wa Tanzania

Congo ulienda,au ulisikia stori za kipumbavu ukaziamini?Congo kuna serikali?

Congo nayo ni nchi?Congo hakuna serikali tangu mwaka 1972,nchi ni dsyfunctional mpaka leo hii,eti unaifananisha na wananchi wa TZ?

Una akili wewe maiti?

TZ ifananishe na KE au UG walao

Usilete upumbavu wa Congo na Burundi huko kwa wananchi wa TZ

Congo ni nchi inayotawaliwa na Rwanda?

Mnajua nyie mnajidanganya sana
Andika hata page 100 mpapaso upo palepale keyboard warrior na askofu wako
 
Sijawahi kuona maishani mwangu mtu ananunua hiyo takataka. Labda inasomwa lumumba
 
Sijawahi kuona maishani mwangu mtu ananunua hiyo takataka. Labda inasomwa lumumba
 
Unajisikiaje upo pekee yako kwenye thread nzima ndio inamtetea magufuli

Hivi mnajisikiaje lakini?

Watu mnawatawala ila hawawapendi kabisa

Watu milioni 60 hawataki kuwasikia

Mkifa wanafurahi kabisa,na nyie mnaona hii chuki imetokea wapi,hamjiulizi tu aisee?
Mimi sio nyumbu nihitaji kundi la nyumbu wengine kunisapot ndo maisha yaende ..........hawawapendi so what?!? Lieni kwenye keyboard mkichoka mtalala hamna jipya..........sisi sio nyumbu wakuiga iga tu mambo bila kuelewa kisa tu watu wengi mapunguani yamezoea hivyo
 
Unajisikiaje upo pekee yako kwenye thread nzima ndio inamtetea magufuli

Hivi mnajisikiaje lakini?

Watu mnawatawala ila hawawapendi kabisa

Watu milioni 60 hawataki kuwasikia

Mkifa wanafurahi kabisa,na nyie mnaona hii chuki imetokea wapi,hamjiulizi tu aisee?
Usimlaumu binaadamu ndivyo tulivyo, jambazi sugu anaweza kupata watu wengi kwenye maziko yake huku wewe mwalimu ukiambulia watu wachache sana kwenye maziko yako. Hitler na mafashisti wenzake nao pia walikuwa na wapenzi wao waliowaona kama miungu.
 
Back
Top Bottom