Corona inaua nyinyi wenye life style za kizungu.Corona ipi?
SI mnasema corona haipo?
Mbona unasema corona tena?
Which is which?
Mpo confused sana aisee
Corona inaua nyinyi wenye life style za kizungu.Corona ipi?
SI mnasema corona haipo?
Mbona unasema corona tena?
Which is which?
Mpo confused sana aisee
Safi kabisa tunataka wabunge wanaowawezesha wapigakura wao.
Inakupata wewe mzungu sisi waafrika immunity zetu ziko juu ya mwamba wa Bwana Yesu!Wewe na bwana wako si mnaamini hakuna korona?
Au umesahau?
Napataje korona sasa?
You maafakaz are confused with this life!
Hapa lengo si habari, lengo ni gazeti lipate pesa.Hahahaaaa, hapo ni sawa na kuchukua habari mfuko wa kushoto na kuitumbukiza kulia ...habari within the same circle