Ni kweli mtaani halionekani kabisa, ni huku tu kwenye mtandao ndio unaweza kulisoma na wenye access na mtandao ni wachache.
Ushauri free media wanaweza chapa nakala nyingine na kuziingiza mtaani hata kama ni mchana, japo najua hawa watu sijui ndio TISS kwa kutumia pesa za walipa kodi wa Tanzania watakuja kuyanunua tena lakini kuna watu watazipata hizo nakala hata kama zitakuwa chache.
CCM fanyanyeni siasa za kistaarabu jamani, mmesahau ilani yenu badala yake mnatumia pesa ya umma kwa mambo ya ovyo kama haya, hakika hii laana haitawacha salama hata kidogo. Mnazidi kujimaliza na kujiangamiza wenyewe na hukumu toka kwa wananchi imekaribia sana, kuanzia sasa, mwakani uchaguzi serikali za mtaa na fainali 2015 wakati wa uchaguzi mkuu.
Kwa nini CCM mmechagua mwisho mbaya wa namna hiyo, poleni kwa hiyo style ya kifo mliyoamua kuichagua.