Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

Status
Not open for further replies.
Nawashauri tanzania daima wakitaka kupiga dili,hilo tamko walitoe tena kesho front page
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU. Magazeti ya UDAKU pia huitwa magazeti PENDWA kwa sababu watu "wa kawaida" wanapenda kusoma magazeti haya.

Ukitaka kuwahi gazeti lolote la UDAKU ni lazima uamke asubuhi na mapema, ukichelewa unakuta yameisha. Ndio maana Tanzania Daima haliko mitaani...
 
Nimefuatilia mimi mwenyewe in person ofisi za Tanzania Daima, SIO KWELI kuwa gazeti limenunuliwa lote na wahuni bali, mchapaji hakuwa na karatasi za kutosha kuchapa nakala zote kama alivyotakiwa na Tanzania Daima. Nimeelezwa kuwa karatasi ziliisha, na hata za akiba hakuwa nazo mchapaji, kwa hali hiyo walichapa hizo chache tu na kuamua kuzisambaza kidogo kidogo mezani...

asante kwa taarifa
 
tanzania daima ni gazeti la udaku. Magazeti ya udaku pia huitwa magazeti pendwa kwa sababu watu "wa kawaida" wanapenda kusoma magazeti haya.

Ukitaka kuwahi gazeti lolote la udaku ni lazima uamke asubuhi na mapema, ukichelewa unakuta yameisha. Ndio maana tanzania daima haliko mitaani...
mbona la uhuru pamoja na udaku wake watu wamelitupilia mbali!
 
wakuu wasalaam?
leo asbh nimeamka nikiwa na wazo moja tu kichwani,la kununua gazeti la T-DAIMA ili nisome madai ya CHADEMA kufichua siri za watu wa usalama kukihujumu chama cha CHADEMA, sasa katika pita pita yangu amini usiamini mpk sasa nimepita sehemu 5 hakuna gazeti la T-daima na madai ya wauzaji wanasema kuna watu wamekuja wakanunua yote,mara wengine"leo mie nimeletewa copy3 tu" wengine copy 5

kama issue kujulikana ishajulikana toka jana,tumeisoma humu JF, sasa ya nini wanausalama wanahaha kununua magazeti mtaani?<sina hakika kama ni usalama> ama wanataka watz wa kawaida wacjui what is going on?

MY TAKE:
CCM TEKELEZENI SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WANANCHI TUKO TAYARI KUWAUNGA MKONO.WAACHENI CDM WAFANYE KAZI ZAO KIUFANISI KWANI WANAWAKUMBUSHENI MAJUKUMU YENU KILA MNAPOJISAHAU,TZ NI YETU SOTE,WEWE,MIMI,NA YULE

Mkuu kweli unazipenda kucha zako na meno yako... maana ulivyojihami haraka hapo kwenye red!...
 
Hii hali inatisha.Marando na mawakili wenzake waliojitoa muhanga kumutetea Lwakatare wanatakiwa wawe macho na walindwe na mungu.Kwa hali hii maisga yao yako hatarini.
 
If you they suspect a foul play they should just print more copies or put it online so we can all read for free!
 
wakuu wasalaam?
leo asbh nimeamka nikiwa na wazo moja tu kichwani,la kununua gazeti la T-DAIMA ili nisome madai ya CHADEMA kufichua siri za watu wa usalama kukihujumu chama cha CHADEMA, sasa katika pita pita yangu amini usiamini mpk sasa nimepita sehemu 5 hakuna gazeti la T-daima na madai ya wauzaji wanasema kuna watu wamekuja wakanunua yote,mara wengine"leo mie nimeletewa copy3 tu" wengine copy 5

kama issue kujulikana ishajulikana toka jana,tumeisoma humu JF, sasa ya nini wanausalama wanahaha kununua magazeti mtaani?<sina hakika kama ni usalama> ama wanataka watz wa kawaida wacjui what is going on?

MY TAKE:
CCM TEKELEZENI SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WANANCHI TUKO TAYARI KUWAUNGA MKONO.WAACHENI CDM WAFANYE KAZI ZAO KIUFANISI KWANI WANAWAKUMBUSHENI MAJUKUMU YENU KILA MNAPOJISAHAU,TZ NI YETU SOTE,WEWE,MIMI,NA YULE

Zama mtandaoni mkuu kununua magazeti yote ni mikakati ya zamani!
 
..kudadadeki,kumbe kweli,sa ya mikoani inakuwaje ? eti huko mbeya na arusha mzigo haupo mtaani ?
 
Kwa Tunaofuatailia maswala ya biashara jibu ni kwamba GAZETI HILO NO HOT CAKE leo so kama hujalipata mwezako kalipata ondoa hisia <sina hakika kama ni usalama> ni UJINGA mkubwa kama kweli usalama wa taifa wameyanunua magazeti yote Hapa bongo
 
If you they suspect a foul play they should just print more copies or put it online so we can all read for free!

kwani kiswahili hujui mkuu kuliko kuandika kiingereza kisichoeleweka??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom