hapa sasa wachagume mawili 1. Kumfungulia mashitaka mapya ndugu marando kwa uchochezi 2. Kulifungia Tanzania daima.Gazeti kama nipashe wameandika lakini kuna vitu wmaeficha ficha,Tanzania daima imekopi na kupesti taarifa ya marando kama ilivyo.
Tafakali.............Chukua hatua
wakuu wasalaam?
leo asbh nimeamka nikiwa na wazo moja tu kichwani,la kununua gazeti la T-DAIMA ili nisome madai ya CDM kufichua siri za watu wa usalama kukihujumu chama cha CDM,sasa katika pita pita yangu amini usiamini mpk sasa nimepita sehemu 5 hakuna gazeti la T-daima na madai ya wauzaji wanasema kuna watu wamekuja wakanunua yote,mara wengine"leo mie nimeletewa copy3 tu" wengine copy 5
kama issue kujulikana ishajulikana toka jana,tumeisoma humu JF, sasa ya nini wanausalama wanahaha kununua magazeti mtaani?<sina hakika kama ni usalama> ama wanataka watz wa kawaida wacjui what is going on?
MY TAKE:
CCM TEKELEZENI SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WANANCHI TUKO TAYARI KUWAUNGA MKONO.WAACHENI CDM WAFANYE KAZI ZAO KIUFANISI KWANI WANAWAKUMBUSHENI MAJUKUMU YENU KILA MNAPOJISAHAU,TZ NI YETU SOTE,WEWE,MIMI,NA YULE
hii habari ni kweli. stand leo asubuhi hayakuwepo. labda yamenunuliwa yote mapema. kuna radio tz daima haikusoma. mia
Huyu bwana anachokisema ni kweli,mm nimetoka mbezi mwisho sijapata hilo gazeti,folen ya ubungo sijapata gazeti,mwenge sijapata,na sasa niko foleni ya kuelekea morocco pia hakuna hilo gazeti.
UHASAMA wa taifa mmefilisika kweli kweli; yaani nyie mnatarajia tamko la CHADEMA linapatikana kwenye gazeti la Tanzania Daima pekee ?
Aisee ni kweli, hapa Samora kuanzia TRA hadi Mnara wa Askari magazeti hayo hakuna
Yap. Gazeti halipo sokoni leo.
Hapa maeneo ya IFM mpaka karibu na Posta hamna haya Magazeti au yamenunuliwa sana?
wish tujue huwa zinatoka copy ngapi kwa siku.....hili gazeni ni mwanahalisi pure ndo maana nikaamka asbh na mapema kuwahi copy yangu kumbw wanateja wakubwa wamekuja kuyanunua yote dah
Nimelisoma Tanzania Daima kwenye mtandao,awajapepesa macho hata kidogo wameandika kama marando alivyo wakilisha kwa wanahabari.
wakuu wasalaam?
leo asbh nimeamka nikiwa na wazo moja tu kichwani,la kununua gazeti la T-DAIMA ili nisome madai ya CHADEMA kufichua siri za watu wa usalama kukihujumu chama cha CHADEMA, sasa katika pita pita yangu amini usiamini mpk sasa nimepita sehemu 5 hakuna gazeti la T-daima na madai ya wauzaji wanasema kuna watu wamekuja wakanunua yote,mara wengine"leo mie nimeletewa copy3 tu" wengine copy 5
kama issue kujulikana ishajulikana toka jana,tumeisoma humu JF, sasa ya nini wanausalama wanahaha kununua magazeti mtaani?<sina hakika kama ni usalama> ama wanataka watz wa kawaida wacjui what is going on?
MY TAKE:
CCM TEKELEZENI SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WANANCHI TUKO TAYARI KUWAUNGA MKONO.WAACHENI CDM WAFANYE KAZI ZAO KIUFANISI KWANI WANAWAKUMBUSHENI MAJUKUMU YENU KILA MNAPOJISAHAU,TZ NI YETU SOTE,WEWE,MIMI,NA YULE