midoalbida
Member
- Nov 1, 2011
- 16
- 4
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
wamekukosea nini?
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
punguza udini jaribu kutafuta suluhisho sio kupalilia chukiWanashindwa kutumia nguvu kubwa namna hii kumtafuta mtu anayehusika na mauaji ya Padri wao wamekomaa na gazeti la Tanzania Daima...
Hapa kuna harufu ya udini wa JK, huenda wanamtafuta Dk Lilian Mbowe kwa vile ni cheap target ya JK kuwadhalilisha watu wa dini nyingine. Kwanza polisi hawa ni vilaza hawaelewi kabisa kuwa Business is a separate entity from the owner
mtu anayeomba radhi si ndio muungwana.Hatimaye tulokuwa tunayasema yametimia, TANZANIA DAIMA haliko makini na kwa kukiri wamejipambanua.leo humu inaonekana ni kawaida ila jambo hili lingefanywa na gazeti lingine mashabiki humu wangetoa kila aina ya matusi ila kwakuwa gazeti lenu basi mnapaka rangi uwongo uonekane kawaida.shame on them
Tanzania daima na wenyewe waliperform below standards. Kwa gazeti lenye heshima kama Tanzania Daima hatukutegemea mtu aandike habari kama ile bila kuwa na ushahidi hata angalau wa simu tu, au kupata taarifa kutoka kwa watu wengine kadhaa huko Geita.Sasa Tanzania Daima ina maana hawakuwa na mtu ambaye angeweza kuwaambia kilichotokea? Kweli wanaweza kuandika habari nzito kama hii bila uwepo wa ushahidi wa video?
Angalien na muache kuleta UCHDM na userikal ndugu zangu ushabiki huu utatufikisha pabaya kama imefikia hatua tunatetea ujinga eti sababu umefanywa na CHDM....walichofanya ni mwendelezo wa propaganda chafu dhid ya serikal na wanapaswa kuchukuliwa hatua kwan walishapewa onyo kama wenzao HALISI tusitetea maovu please
Wanashindwa kutumia nguvu kubwa namna hii kumtafuta mtu anayehusika na mauaji ya Padri wao wamekomaa na gazeti la Tanzania Daima...
Hapa kuna harufu ya udini wa JK, huenda wanamtafuta Dk Lilian Mbowe kwa vile ni cheap target ya JK kuwadhalilisha watu wa dini nyingine. Kwanza polisi hawa ni vilaza hawaelewi kabisa kuwa Business is a separate entity from the owner
Nyie watu wa design hii ndio cancer inayo itafuna nchi hii. Kwa maana Radio ikiwa inahubiri mambo yanayjenga nchi nyie mnajawa na chuki za kijinga. sasa twambie ni taarifa gani Iman FM wametoka ambayo haisisitizi amani, au kusema pahala fulani pako hovyo parekebishwe? Ni hurka yenu kuendelea unyonyaji tu, mkiambiwa mnaanza kuji-defend kuwa watetezi Iman FM wanakosea. tuwe wawazi tujadili na kuyafanyia kazi yale yote yanasemwa katika radi hiyo...si kuanza kuleta fina za kijingaMkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
wewe subiri utaona huyo mwadishi na gazeti lakr hilo la Mtanzania mwisho wake. haya ndi tunayoyasema yanahatarisha amani ya nchi, kuwaaminisha watu uongo? Chuo cha kigaidi? Naomba wahusika polisi wamtafute huyu mwandishi, waweke ndani na Gazeti lake la MTanzania lifungiwe mara moja!Nasisitiza kuwa Kile Chuo cha KIGAIDI KULE UKEREWE Kisiposhughulikiwa kitakuwa cha hawa MAGAMBA and not otherwise na huyu Mchochezi shehe ILUNGA ni mwanachama wao mwaminifu ndo maana haguswi si ajabu wanamlipa posho kila siku hawa jamaa uovu wao ni wa kiwango cha juu mno........ Dawa yao ni moja tu kuwaondoa muda wasiodhani....even before general election