Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?

Ajabu sasa,wenye kuhatarisha usalama wa nchi hawakamatwi kuhojiwa,wenye kutoka habari Sahihi wanatishiwa,duuuuu,maajabu ya Ngapi ya dunia haya
 
Ikiwa vyombo vya usalama tu ikiwemo Jeshi la Polisi huwa wakati mwingine wanapewa taarifa za uongo na vyanzo vya habari aua shahidi, sembuse waandishi wa habari!!!
Jeshi la Polisi inabidi lifanye kazi kisayansi na si kwa mabavu
 
Hatuwezi kuwa na serikali ikataka kufungia gazeti anakuja na kuamuru kufanya hivyo bila ya kupeleka katika vyombo husika hivyo kuna ulazima wa kutaka kama wamekosea kupeleka kwenye tume ya kutatua migogoro kama hii
 
Namfahamu vizuri Isango, sio mtu wa kukurupuka kiasi hicho. Naamini kilikwepo chanzo cha habari hii, labda kilikuwa si cha kuaminika kwa 100%.,lakini tayari gazeti limeomba radhi, na ndio utaratibu tulionao..

Hapana, habari ilikuwa ya uongo. Tanzania Daima waliomba radhi
 
Kufungia vyombo vya habari haikutasaidia chama cha magamba, cha muhimu wajifunze uvumilivu, siku zote siasa ni km dust bin you dump everything so they have to take craps even if they don't like it

  • :tape2:

Huyu Dr Lilian ni demu wa Freema Mbowe au majina yana fanana tu?
Kama alivyo demu wa Jakaya Kikwete anavyoitwa Salma Kikwete, ndivyo ilivyo kwa demu wa Mbowe, anaitwa Dr Lilian Mbowe, tofauti ya huyu demu wa Mbowe ni kwamba ana PHD na demu wa Kikwete ni Mwalimu wa UPE.

Na uzingatie hii PHD ya Lilian siyo zile za kupewa holela holela kama za Fastjet bali amekaa darasani.
 
Angalien na muache kuleta UCHDM na userikal ndugu zangu ushabiki huu utatufikisha pabaya kama imefikia hatua tunatetea ujinga eti sababu umefanywa na CHDM....walichofanya ni mwendelezo wa propaganda chafu dhid ya serikal na wanapaswa kuchukuliwa hatua kwan walishapewa onyo kama wenzao HALISI tusitetea maovu please
si wameshoomba radhi lakini........upuuuzi tu uhuru na habari leo kila siku waanandika vitu vya ajabu sijawahi kusikia wakihojiwa
 
Hatimaye tulokuwa tunayasema yametimia, TANZANIA DAIMA haliko makini na kwa kukiri wamejipambanua.leo humu inaonekana ni kawaida ila jambo hili lingefanywa na gazeti lingine mashabiki humu wangetoa kila aina ya matusi ila kwakuwa gazeti lenu basi mnapaka rangi uwongo uonekane kawaida.shame on them

Swala la kuomba radhi ni jambo la kiistarabu hasa unapogundua kuwa habari fulani imetoka kimakosa kutokana na chanzo cha habari kutokuwa credible, they are human beings too.
 
Hatimaye tulokuwa tunayasema yametimia, TANZANIA DAIMA haliko makini na kwa kukiri wamejipambanua.leo humu inaonekana ni kawaida ila jambo hili lingefanywa na gazeti lingine mashabiki humu wangetoa kila aina ya matusi ila kwakuwa gazeti lenu basi mnapaka rangi uwongo uonekane kawaida.shame on them
Acheni ujinga nyie msifikiri nchi hii ni yenu ipo siku mtaitumbukiza kwenye matatizo makubwa mnafikiri Watanzania ni wajinga fungieni gazeti muone, ina maana wewe haujasikiliza radio IMAAN, HABARI LEO, UHURU, SAUTI HURU? TAZAMA TANZANIA,RADIO UHURU UNAPATA MDA WA KUVIPITIA VYOMBO HIVI NA KUONA VINATANGAZA NA KUANDIKA NINI? TUMECHOKA KUONEWA FUNGIENI MUONE TUKINIKISHE.
 
SErikali hii bwana, haya ndiyo yanabainisha kwamba serikali inawafahamu na inawalinda wanaochochea machafuko kwa njia za video/CD, radio, mihadhara kwenye nyumba za ibaada. Hivi hata kama si kweli kwamba waziri Chimbi na wasira kutolewa baruti, hii inaweza kuwa kitu kizito kiasi hicho watu wakamatwe kuhojiwa????? Jambo jingine, hivi ni sahihi andiko lile linaimpact kubwa kwa usalama wa taifa kama wale wanao sambaza vipeperushi, wanaouza kanda/CD, wanaohubiri kuua wakristo nk. kwenye radio na misikitini???

SITAKI KUTETEA LAKINI NITAFANYAJE KUNAKO DOUBLE STANDARDS!!!!???
 
Je ! Vipi kuhusu gazeti la uhuru? ambalo ndo zaidi ya tunavyodhani kwa kuandika habari mfu na hatari kwa taifa letu?.

gazeti la uhuru ni sumu kwa kila kiumbe hai tz

gazeti la uhuru ni kero mara 100 ya tanzania daima

gazeti la uhuru ni kero mara 100 ya tanzania daima

gazeti la uhuru ni kero mara 100 ya tanzania daima

gazeti la uhuru ni kero mara 100 ya tanzania daima

lini gazeti la uhuru litafungiwa?

lini gazeti la uhuru litafungiwa?

lini gazeti la uhuru litafungiwa?

"there is no freedom without slavery"
​
 
Back
Top Bottom