Wanashindwa kutumia nguvu kubwa namna hii kumtafuta mtu anayehusika na mauaji ya Padri wao wamekomaa na gazeti la Tanzania Daima...
Hapa kuna harufu ya udini wa JK, huenda wanamtafuta Dk Lilian Mbowe kwa vile ni cheap target ya JK kuwadhalilisha watu wa dini nyingine. Kwanza polisi hawa ni vilaza hawaelewi kabisa kuwa Business is a separate entity from the owner
Inamana tanzania daima ni gazeti la kanisa hapa udini umeingia vipi
Makosa katika uandishi wa habari ni jambo lisiloepukika. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, kunapozuka burning issue, waandishi hupenda kupata taarifa kutoka kwenye chanzo. Inapotokea vyanzo hivi vinakuwa biased, uwezekano wa kuwepo asymmetric kwenye taarifa ni mdogo. Labda hili ndilo lililoanzsha utaratibu mzuri kuwa, mwandishi anapotoa taarifa isiyo sahihi, aikanushe kupitia chombo hichohicho haraka iwezekanavyo. TanzaniaDaima wamelifanya hilo., na wao si wa kwanza kufanya hilo.,nakumbuka vizuri limewahi kujitokeza kwenye The Guardian around last year.. Serikali ijifunze kuwa na uvumilivu hasa kwa wale wanaoikosoa kwa nia njema.., TanzaniaDaima inclusively..
Hili gazeti limevumiliwa sana kwa kipindi kirefu, waandashi wake wamekosa uweledi wa uzalendo pia ni makanjanja ambao wameokotwa mtaa wa Ufipa kwa kazi ya kupigia domo Chadema
Eti ni Dokta wa binadamu anamilikije gazeti.................... Sijawahi kusikia utumbo kama huu. Tanzania utadhani inaongozwa na mambulula tuuuuu.
Peleka upuuzi mbali na double std zenu. Sheikh ilunga, Redio iman nani mchochezi zaidi ya hawa!? Go to hell!!Habari ya vurugu za kidini ni very sensitive na Tanzania Daima wanawajibika kuandika habari ya UONGO yenye kuchochea moto wa vurugu za kidini. Kuna kosa la kuomba radhi na kuisha lakini kosa la kuchochea vurugu za kidini ni LAZIMA liambatane na adhabu. We must maintain NO TOLERANCE POLICY kwa wachocheaji wa vurugu za kidini la sivyo watoto na wajukuu zetu wataishi wakitangatanga kama wakimbizi...
Sasa Tanzania Daima ina maana hawakuwa na mtu ambaye angeweza kuwaambia kilichotokea? Kweli wanaweza kuandika habari nzito kama hii bila uwepo wa ushahidi wa video?
Habari ya vurugu za kidini ni very sensitive na Tanzania Daima wanawajibika kuandika habari ya UONGO yenye kuchochea moto wa vurugu za kidini. Kuna kosa la kuomba radhi na kuisha lakini kosa la kuchochea vurugu za kidini ni LAZIMA liambatane na adhabu. We must maintain NO TOLERANCE POLICY kwa wachocheaji wa vurugu za kidini la sivyo watoto na wajukuu zetu wataishi wakitangatanga kama wakimbizi...
Ungeeleweka vzur ungependekeza akamatwe shehe ilunga kwanza.
Anzeni na gazeti la uhuru,magamba bhana!!!!Angalien na muache kuleta UCHDM na userikal ndugu zangu ushabiki huu utatufikisha pabaya kama imefikia hatua tunatetea ujinga eti sababu umefanywa na CHDM....walichofanya ni mwendelezo wa propaganda chafu dhid ya serikal na wanapaswa kuchukuliwa hatua kwan walishapewa onyo kama wenzao HALISI tusitetea maovu please
Kama gazeti limeshaomba msamaha kwa kutoa habari isiyokuwa ya ukweli, kuna haja gani ya kutaka kutumia nguvu kubwa hivyo? Serikali na vyombo vyenu vya dola, mbona kuna mengi ya kufanya/kuchunguza zaidi ya Tanzania Daima.....!