Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Wanashindwa kutumia nguvu kubwa namna hii kumtafuta mtu anayehusika na mauaji ya Padri wao wamekomaa na gazeti la Tanzania Daima...

Hapa kuna harufu ya udini wa JK, huenda wanamtafuta Dk Lilian Mbowe kwa vile ni cheap target ya JK kuwadhalilisha watu wa dini nyingine. Kwanza polisi hawa ni vilaza hawaelewi kabisa kuwa Business is a separate entity from the owner
punguza udini jaribu kutafuta suluhisho sio kupalilia chuki
 
Hatimaye tulokuwa tunayasema yametimia, TANZANIA DAIMA haliko makini na kwa kukiri wamejipambanua.leo humu inaonekana ni kawaida ila jambo hili lingefanywa na gazeti lingine mashabiki humu wangetoa kila aina ya matusi ila kwakuwa gazeti lenu basi mnapaka rangi uwongo uonekane kawaida.shame on them
mtu anayeomba radhi si ndio muungwana.
 
Sasa Tanzania Daima ina maana hawakuwa na mtu ambaye angeweza kuwaambia kilichotokea? Kweli wanaweza kuandika habari nzito kama hii bila uwepo wa ushahidi wa video?
Tanzania daima na wenyewe waliperform below standards. Kwa gazeti lenye heshima kama Tanzania Daima hatukutegemea mtu aandike habari kama ile bila kuwa na ushahidi hata angalau wa simu tu, au kupata taarifa kutoka kwa watu wengine kadhaa huko Geita.

Lakini pamoja na makosa hayo ya Tanzania daima, bado tunasema kama serikali inalichukulia hatua gazeti hili, basi ilichukulie hatua pia gazeti la Al-nuur na radio imani, vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiandika na kutangaza uchochezi wa wazi kabisa! Au uchochezi ni pale inapoandikwa vibaya Ikuluu tu, lakini wakiandikwa na kusemwa vibaya watu wengine ndani ya jamii kiasi cha kutishia amani huo siyo uchochezi?

Tuna mifano mingi ya maamuzi mabovu dhidi ya vyombo vya habari yanayoonyesha kwamba Kikwete anajijali yeye tu, na hawajali wengine. Kwa mfano the Utamu ilikuwa inachapisha picha za fedhuri na udhalilishaji mkubwa wa watu, lakini haikutokea hata siku moja mtandao huo ukafungiwa wala mmiliki wake kuhojiwa. Lakini ilipoandika habari za Ikulu tu ilifungiwa ndani ya masaa. Mwanahalisi, pamoja na kuandika habari nyingi za Lowassa na watu wengine, halikuwahi kuuliza, lilipogusa ofisa wa Ikulu tu, likafungiwa, vivyo hivyo tunaona kinachotaka kufanyika dhidi ya Tanzania daima.

Hili litatuaminisha kwamba Kikwete anataka kuishi kama Mungu mtu asiyetaka kusemwa kwa uovu wake wala kukosolewa lakini yupo tayari kuona wengine wakidhihakiwa, kudhalilishwa na kutukanwa bila ya yeye kuchukua hatua. Akiwa kama kiongozi wa nchi, namuona kama ni mwenye double standards katika maamuzi yake, anayejijali yeye tu huku akipuuza hisia za maelfu ya watanzania.
 
mahali popote duniani mtu akisahihisha jambo kiuandishi uwa amejiweka katika wakati mzuri maana kumbuka kuna makosa ambayo ni common mistakes. Kama gazeti litafungiwa itakuwa ni mbinu ya wakubwa kuzilka demokrasia ya habari na kuwanyima watanzania haki ya kuelimishwa. Tupinge jambo hilo kwa nguvu zote. nyakisagane
 
umenena kila siku na mimi nawaambia watz wenzangu kufuta ujinga tz ni hatari kwa ccm, wajumbe wa nyumba kumi wengi awajui hata kusoma na kuandika na wana maisha magumu ila kwa kukosa elimu kwao wamebaki na vibendera kwenye nyumba zao. wangine wananipiga mizinga wamechoka nawauliza vipi mmepandisha kijani then mnanipiga mizinga wanasema wapandisha wakati uchaguzi wanakumbukwaga. nyakisgane,
ukonga
 
Angalien na muache kuleta UCHDM na userikal ndugu zangu ushabiki huu utatufikisha pabaya kama imefikia hatua tunatetea ujinga eti sababu umefanywa na CHDM....walichofanya ni mwendelezo wa propaganda chafu dhid ya serikal na wanapaswa kuchukuliwa hatua kwan walishapewa onyo kama wenzao HALISI tusitetea maovu please

Kufunga midomo ya watanzania kwa sheria kandamizi haikubaliki. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,serikali makini ni ile inayokubali kukosolewa,
 
hata kam ni uhuru wa habari una mipaka yake tz Daima wanatakiwa kuwa makini sana, kuna baadhi ya habari zizochapishwa hazifuati msingi ya taalum ya habari tena zinaandikwa na m2 ambaye ana nafasi kubwa kweny news room mfano wa habari hizo zinazoandikwa na Kamukara ambaye ni mhariri juu ya mgogoro wa meya wa manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani na mbunge wa jimbo la bukoba mjini khamis Kagasheki ziko upande mmoja haziko balance, pia zinakuwa kinyume hali halisi ilivyo
 
Nasisitiza kuwa Kile Chuo cha KIGAIDI KULE UKEREWE Kisiposhughulikiwa kitakuwa cha hawa MAGAMBA and not otherwise na huyu Mchochezi shehe ILUNGA ni mwanachama wao mwaminifu ndo maana haguswi si ajabu wanamlipa posho kila siku hawa jamaa uovu wao ni wa kiwangu cha juu mno
 
Nasisitiza kuwa Kile Chuo cha KIGAIDI KULE UKEREWE Kisiposhughulikiwa kitakuwa cha hawa MAGAMBA and not otherwise na huyu Mchochezi shehe ILUNGA ni mwanachama wao mwaminifu ndo maana haguswi si ajabu wanamlipa posho kila siku hawa jamaa uovu wao ni wa kiwango cha juu mno........ Dawa yao ni moja tu kuwaondoa muda wasiodhani....even before general election
 
Wanashindwa kutumia nguvu kubwa namna hii kumtafuta mtu anayehusika na mauaji ya Padri wao wamekomaa na gazeti la Tanzania Daima...

Hapa kuna harufu ya udini wa JK, huenda wanamtafuta Dk Lilian Mbowe kwa vile ni cheap target ya JK kuwadhalilisha watu wa dini nyingine. Kwanza polisi hawa ni vilaza hawaelewi kabisa kuwa Business is a separate entity from the owner

kwa mtaji huu hata wewe ni mdini vilevile huna tofauti na wafia imani.
 
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
Nyie watu wa design hii ndio cancer inayo itafuna nchi hii. Kwa maana Radio ikiwa inahubiri mambo yanayjenga nchi nyie mnajawa na chuki za kijinga. sasa twambie ni taarifa gani Iman FM wametoka ambayo haisisitizi amani, au kusema pahala fulani pako hovyo parekebishwe? Ni hurka yenu kuendelea unyonyaji tu, mkiambiwa mnaanza kuji-defend kuwa watetezi Iman FM wanakosea. tuwe wawazi tujadili na kuyafanyia kazi yale yote yanasemwa katika radi hiyo...si kuanza kuleta fina za kijinga
 
Nasisitiza kuwa Kile Chuo cha KIGAIDI KULE UKEREWE Kisiposhughulikiwa kitakuwa cha hawa MAGAMBA and not otherwise na huyu Mchochezi shehe ILUNGA ni mwanachama wao mwaminifu ndo maana haguswi si ajabu wanamlipa posho kila siku hawa jamaa uovu wao ni wa kiwango cha juu mno........ Dawa yao ni moja tu kuwaondoa muda wasiodhani....even before general election
wewe subiri utaona huyo mwadishi na gazeti lakr hilo la Mtanzania mwisho wake. haya ndi tunayoyasema yanahatarisha amani ya nchi, kuwaaminisha watu uongo? Chuo cha kigaidi? Naomba wahusika polisi wamtafute huyu mwandishi, waweke ndani na Gazeti lake la MTanzania lifungiwe mara moja!
 
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?
Nyie watu wa design hii ndio cancer inayo itafuna nchi hii. Kwa maana Radio ikiwa inahubiri mambo yanayjenga nchi nyie mnajawa na chuki za kijinga. sasa twambie ni taarifa gani Iman FM wametoka ambayo haisisitizi amani, au kusema pahala fulani pako hovyo parekebishwe? Ni hurka yenu kuendelea unyonyaji tu, mkiambiwa mnaanza kuji-defend kuwa watetezi Iman FM wanakosea. tuwe wawazi tujadili na kuyafanyia kazi yale yote yanasemwa katika radi hiyo...si kuanza kuleta fina za kijinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom