Gazeti la Raia Mwema kutoka Alhamisi kusubiri bajeti ya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Raia Mwema kutoka Alhamisi kusubiri bajeti ya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Jun 15, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Katika ukurasa wa Facebook wa gazeti la Raia Mwema kuna taarifa ifuatayo:

  Bajeti yenyewe imesomwa leo na Zitto Kabwe.

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/145784-live-tbc1-kambi-ya-upinzani-wanawasilisha-bajeti.html

  Kuna taarifa kwamba Nape Nnauye anakutana na waandishi leo kuzungumzia bajeti hiyo. KUna taarifa kwamba atahusisha na kampeni za Dk. Slaa za uchaguzi wa mwaka 2010, lakini anapaswa kujibu kuwa mbona ahadi za Kikwete nazo hazijaingizwa kwenye bajeti ya Mkulo? hakuna ahadi za kujenga barabara kibao, kununua meli katika maziwa yote na mengi mengineyo hayamo katika bajeti ya Mkulo
   
 2. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 563
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mumewajulisha wasomaji wenu?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
 4. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 2,630
  Likes Received: 1,747
  Trophy Points: 280
  Wanapaswa kuwajulisha wajeta wao maana hii ni wiki ya pili mfululizo wanatoa nakala siku ya alhamic. Leo nimeenda kununua gazet la Mwanahalisi na Raiamwema nikaambiwa Raiamwema linaanza kutoka kila alhamic, wakati kumbe hayo ni mabadiliko ya muda tu. I hope wanaelewa kuwa sio watu wengi wanaosoma Raiamwema wako facebook na hata wakiwa facebook wanaweza wasiwe wana-access page yao.
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,862
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 0
  it amazes me that you are still taking there guys serious ?
   
 7. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tumepa taarifa thanx

   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hotuba ya Zito ilikuwa hapa JF tangia jana, hivi walishindwa kuiweka au wanangojea ijadiliwe bungeni?
   
Loading...