TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
- Thread starter
-
- #101
Sikiliza alikuwa akizungumzia Volume wise, Zungusheni Bashite Mchoke Video iko wazi! Kuna hata Mahali akisema, "Imejaa dhahabu tupu" Vyote ni dhahabu tupu"We Malndu acha upotoshaji usio na tija, fuso limeandikwa kwa mfano 7 ton, sasa tonn ni volume au mass.
**** sehemu wametaja litres au meter cubic katika hayo maelezo mpaka ukosoe.
Upo form one ee
Nimekuambia dogo fata yako usijaribu kuanza kujifanya unajua sana.Sikiliza alikuwa akizungumzia Volume wise, Zungusheni Bashite Mchoke Video iko wazi! Kuna hata Mahali akisema, "Imejaa dhahabu tupu" Vyote ni dhahabu tupu"
Sasa ndio uinuke na kuanza kupotosha. Nimekueleza ondoa siasa za maji taka.
Mpaka sasa hivi kwenye chama cha hao akina Mnyika mmewakumbatia akina Sumaye, Lowasa na Kingunge.
Mwenyekiti wenu Mbowe mpaka kafukuzwa NHC kwa kukwepa kulipia pango miaka mingi tu. Huyo huyo Mwenyekiti wenu anadaiwa na NSSF kwa kukopa mabillion ya mapesa na kashindwa kulipa.
Hivi wewe unaakili timamu?
Nimekueleza kama umetumwa na hao mabwana zako sisi tupo na data kamili. Wewe subiri dawa ikolee.
Yaani unaingia kwenye mitandao kupotosha kwa makusudi na kujifanya mwanasiasa.
Mnaiibia nchi halafu mnajificha kwenye mgongo wa siasa na kuanza kuilaumu CCM. Muda wenu umekwisha tunawabomoa wote na mabwana zako. Baada ya kumalizana na hao wazee wako tunawageukia nyie kwenye mitandao mnaoeneza taarifa za upotoshaji. Subiri tu tumalizane na mafisadi papa. Nyie mnaotumiwa ni kama kusukuma mlevi tu.
Gharama ya nini hapo? Subiri wataalamu wa Uchumi watakuja kueleza hayo. Kuna team ipo inashughulikia hayo mambo.Mimi nashangaa wataalamu wanaleta ripoti ambayo haiko sawa, wanataja thamani ya jumla, hawataji gharama zozote ambazo zimetumika mpaka kontena zile kufika bandarini, wanashindwa kutuambia sisi kodi yetu ni kiasi gani? Hiyo ndio haki yetu sio kutaja mabilioni ya pesa
Nimekuambia dogo fata yako usijaribu kuanza kujifanya unajua sana.
Hapo wapi rais kasema Density? Unaweza kuweka proof hapa.
Hapa president kaongelea Tones. Sasa unataka kuleta taarifa za kudangaya.
Niambie sehemu gani President kasema Density?
Nyie ni walewale tunawafahamu subirini tumalize hii issue. Tunaanza kuwagonga humu kwenye mitandao.Ile ripoti iko fabricated
Nanufaika kwa lipi? Hii nchi iliwahi kutawaliwa na Chama zaidi ya ccm? Majizi nyinyi, mafisadi nyinyi, sasa mnamuonyesha nani duniani kama tulikuwa tunaibiwa? Kwanini hamsemi kama nyinyi ndio Majizi wenyewe?Gharama ya nini hapo? Subiri wataalamu wa Uchumi watakuja kueleza hayo. Kuna team ipo inashughulikia hayo mambo.
Zaidi walikuwa wamejikita kwenye Quantity ya madini yaliyomo kwenye huo mchanga.
Yaani nyie wa upande wanufaika mnatafuta sababu ambazo wala hazina hata maana. Usijitoe akili wewe. Nani asiyekujua wewe?
Kwani mkuu ni wewe ndio ulikuwa unasoma ile ripoti jana!!!?Unatakiwa kuelewa kuwa unapozungumza na watu ambao siyo conversant na field unatumia graphic language. Alichokuwa akikieleza Rais ni uzito wa dhahabu husika siyo volume ya gari. Kama gari ni la tani 7 huwezi kuweka zaidi ya uzito huo ingawa quantity inaonekana kidogo hivyo kuacha nafasi kubwa kwenye gari. Tumieni akili kuelewa the message that is being communicated. kama hujaelewa uliza, waswahili husema kuuliza si ujinga, ingawa ndivyo.
Nimekuambia andika kiswahili acha kujifanya mzungu wakati wewe ni mweusi tii. Tena unakaa bongo hapa hapa.The **** aliyesema Density haikuhusishwa ni mimi. Second Am old enough to marry you mother. Mpuuzi unaniita dogo unanijua am nealy 50 I was not born yesterday!
Mbona sasa hao akina Sumaye, Lowasa na Kingunge ndio mmewakumbatia na wamekuwa mabwana wenu.Nanufaika kwa lipi? Hii nchi iliwahi kutawaliwa na Chama zaidi ya ccm? Majizi nyinyi, mafisadi nyinyi, sasa mnamuonyesha nani duniani kama tulikuwa tunaibiwa? Kwanini hamsemi kama nyinyi ndio Majizi wenyewe?
Kategeshe Makalio kwa CCM Nguchiro wewe utamgonga nani! Huna kifua ndio maana unatumia matako, by the way where you come from, what do they use for brain? Testicles? That will be bad news for you because you do not have the later either!Nyie ni walewale tunawafahamu subirini tumalize hii issue. Tunaanza kuwagonga humu kwenye mitandao.
Mikataba ya madini walisaini chadema,? Bado Mikataba ya gas mmefisadi nchi, mmepitisha kwa hati ya dharura, adui WA nchi hii ni ccm na vibaraka wake,Mbona sasa hao akina Sumaye, Lowasa na Kingunge ndio mmewakumbatia na wamekuwa mabwana wenu.
Hivi hujui kuwa hao akina mbowe wamekwepa kulipa kodi sana?
Nakushangaa sana kijana mdogo ujitoa ufahamu na kuanza kushabikia wizi wa wazungu.
Nimekuambia andika kiswahili acha kujifanya mzungu wakati wewe ni mweusi tii. Tena unakaa bongo hapa hapa.
Acha kuleta upotoshaji hapa. Report inaongelea uzito wewe unaleta habari za ujazo, si ni upumbavu huu.
Lengo lako hasa ni lipi kuleta upotoshaji kwenye public? Hapo ubungo ndio unataka kuanzisha kampuni ya kueneza propaganda?
Hujui kilo moja ya manyoya ni sawa na kilo moja ya jiwe? Unajifanya mtu mzima wakati wewe mtoto mdogo bado unanuka maziwa mdomoni. Halafu issue za kumwingiza mama yangu katika upumbavu wako uishie huko huko. Mimi sijataja wazazi wako.
Nimekuambia andika kiswahili. Wewe hapo Shekilango unajifanya umekuwa mzungu.Kategeshe Makalio kwa CCM Nguchiro wewe utamgonga nani! Huna kifua ndio maana unatumia matako, by the way where you come from, what do they use for brain? Testicles? That will be bad news for you because you do not have the later either!