Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Taifa la ajabu lenye watu wanaoshabikia kuibiwa na kushangilia kuwa ombaomba. Katika hili Watanzania wote tunapaswa kuungana dhidi ya WIZI ambao umekuwa ukifanyika wa raslimali zetu badala ya kubeza. Unaweza kuja kukuta tumeibiwa zaidi ya hiyo iliyobainishwa jana kwenye ripoti. TUWEKENI ITIKADI ZA VYAMA PEMBENI, HUU NI WAKATI WA KUWA WATANZANIA.
 
Kinachonishangaza ni jinsi tulavyo lia kama vile walikuja kuiba, haya yote tuliyataka wenyewe kwa kiburi cha viongozi wetu, wakidaiwa miktataba hawataki, juzi hapa wame sign mikataba ya mafuta na gesi kwa hati ya dharura, wakiulizwa na wabunge kwa nini wanawafukuza bungeni wajadiliane wenyewe wanaokubali TUIBIWE, halafu baada ya muda unamlaumu mtu aeti kaiba wakati kapewa?! Huu utapeli tusikubali kulia nao walie wenyewe sie tuwalaumu kwa kusababisha kuibiwa..viongozi wabinafsi ndio maana wanapanda majukwaani kututukana wapumbavu na malofa, wanajua why wanatuita malofa..
 
Mlipaswa kuwa Wazalendo mlipokowa Mnasaini Mikataba huku mkituzomea "wembe ni Ule ule" Nani aliyesaini Miswada hii ya Madini sio ninyi washenzi mnaojifanya kulia leo?
 
Kwenye hili naona mkuu upo upande wa acacia. Hongera mkuu hiyo ndo demokrasia

No kwenye hili Nasema CCM waliuza Nchi kwa mikataba ya kishenzi, Na kwa mbwewe mkawatukana Akina Myika na Tundu Lisu, Myika Mlizuia hata kuhudhuria Vikao vya Bunge! Washenzi na Bado baadhi yenu Physically mtanyanyuliwa, mmelikoroga kunyweni wenyewe sisi kwa sasa Tutameza Mate!
 
Ebu acheni ujuha bwana sisi tunaibiwa na tumeibiwa sana hilo ndo la msingi. Swala la kiasi gani tunaibiwa litakuja baadae ata kama ni senti 1 chamsingi tunaibiwa. Ni bora kulikuza alimradi hatua stahiki zichukuliwe kuliko kulidogodesha kuondoa dhana nzima ya kuchukua hatua

On this Mr.President the true patriots of this Nation we are behind you
 
Mtamuuwa che Mkapa kwa pressure....yote haya marudio upinzani walipiga kelele miaka mingi
.Raisi Magufuli ameitupa ilani ya CCM anafanya kazi kwa kutumia nondo za Ukawa..
 
Kubali umechemka ndio uungwana huo.
 
Siyo kukariri tu nawe mwandishi ungechanganya na zako katika habari. Ripoti ile imepotoshwa kwa asilimia zaidi ya 80 kwa vile waandishi wetu mbali na kutojua masuala ya madini, hawakujipa muda kuitafakari.
Sasa mkuu mwandishi ulitaka aandike rais amedanganya au alitakiwa aandike ya vipi?
 
Leo ndio unajua mnaibiwa, Mlipokuwa Mkisaini Mikataba kwa mbwembwe, na kashfa juu hamkujua! Leo ndio mnajifanya sazalendo? CCM mliuza Nchi Period!
 
Mlipaswa kuwa Wazalendo mlipokowa Mnasaini Mikataba huku mkituzomea "wembe ni Ule ule" Nani aliyesaini Miswada hii ya Madini sio ninyi washenzi mnaojifanya kulia leo?
Wewe siyo mtanzania. Na kama wewe ni mtanzania unatumiwa na hao wahuni. Wewe subiri tu dawa yenu inachemka. Baada ya kumalizana na mabwana zenu tunawageukia nyie wasaliti.
 
Aliomba dk 5 apitie akaja na conclusion la muhongo na TMAA
 
Yeye Magufuli raha yake ni kutaja tu mabilioni bila kuchanganua kwa umakini......
Ndio maana sikimbilii kupongeza kwani hayo yote ni matokeo ya utawala wa miaka 50 wa ccm na yeye akiwemo....
Ni maigizo tu
 
Nukuu pia inapotoshwa?
 
Kila kitu unaleta siasa za maji taka!? Yaani upumbavu wako unaonekana wazi wazi. Hivi huyu Sumaye si ndiyo yupo huko CHADEMA!? Mbona unaleta siasa za kipumbavu. Kama huna cha kuongea ni bora ukakaa kimya siyo kuleta upumbavu wazi wazi.
 
Hv kuna mtanzania anaempinga mh. Rais ktk hili suala la wizi wa madini yetu?? If yes, ni kwa maslahi ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…