Gazeti la Mwananchi lapotezea tamko la Marando

Gazeti la Mwananchi lapotezea tamko la Marando

Haya magazeti ya hii kampuni siku hizi yako kiudaku zaidi na si kiukweli,gazeti la The citizen wiki iliyopita limeandika uongo kuwa Kakobe hayupo nchini,jana watu tumeenda kanisani kwa Kakobe tumekuta yupo anaongoza ibada kama kawaaida.Hivyo habari zao siku hizi ni sawa na Kiu
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.
Hata Mwakyembe hakumalizia kutaja zile makitu, alifanya kama ulivyofanya wewe... Lakini baadaye wakam-Mwakyembe, kama alivyokolimbiwa Kolimba.... Nchi hii, ukishaonekana una taarifa fulani muhimu, lazima uwindwe, si wanajua information is power.. Kwa hiyo mkuu nakushauri umalizie to kwa kutaja huo UDUKUZI ilifanywa na nani
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.

Lakini Mwananchi linatakiwa lijue pia lina wajibu wa kutoa habari kwa wananchi zinazohatarisha mstakabali wa maisha yao Kilichotolewa na Mabere Malando kinatakiwa kifahamike na kila mtu, ili kuyajua vizuri mazingila tunayoishi, hasa katika kipindi hiki ambacho Serikali inadaiwakuwekeza pesa nyingi katika mauaji ili kuwafumba midomo wanaharakati na watu wote wanaohatarisha CCM kubaki madarakani
 
Sisi tulijua kuwa kwasababu tido kaja pale basi tumepata gazeti huru kama lilivyokuwa mwanahalisi na uhalisia wa habari zake kumbe mwananchi sasa ni gazeti la chama cha majambazi {ccm}.
 
Bias!!. What's bias?.

Kuchagua kiandikwe kile unachopenda kiandikwe au gazeti kuandika kile linachoona kinafaa kwa wasomaji wake?.

Who's right?. Who's wrong?.

Crybaby?.
 
Hakuna cha kushangaza.hata kama niwewe utaandika uovu ulio uandaa mwenyewe ccm na wafuas wao cku zina hesabika.ASANTE CHADEMA.UJUMBE UMEFIKA KWA WANANCHI.
 
Mwananchi nilikuwa nalisoma zamani lakini tangu lianze ujinga wa maccm nilmeachana nalo mazima wala silikumbuki tena. Na ninaahidi kupiga kampeni kali sana za mtu kwa mtu kutangaza ubaya wa gazeti hili hadi warudi kwao kenya.
 
Hivi huyu mtu anayeitwa Msacky ana kitu gani haswa kinachofanya awe ndio centre of attention kwa takribani miezi miwili sasa???
 
gazeti hili nilikua naliamini kwa kiasi fulani lakini sasa nimegundua kua hili ni gazeti adui la Watanzania
 
Hivi huyu mtu anayeitwa Msacky ana kitu gani haswa kinachofanya awe ndio centre of attention kwa takribani miezi miwili sasa???
quote_icon.png
By Zitto
Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.

Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.



Natumaini, utakuwa umeanza kuelewa ni kwa nini Msacky was the target!, very unfortunately, he was only the target but not "the motive behind!", tangu day one nilipotoa ile kauli ya "bonafide genuine!", nilisisitiza video sio issue kubwa, but the motive behind ndio issue! Why?!.
Pasco.
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.

Hivi Pasco ukitaka kufanya uandishi wa habari za kiuchunguzi unapata wapi taarifa? Una maslahi na hili sakata wewe.
 
Mtanzania walijikwaa kwa kuandika habari za wapumbavu akina Shonza sasa limeacha baada ya kuanza kukosa soko.
 
Unategemea waipe kipaumbele wakati Mhariri wao ni mmoja wa watu waliotajwa?
 
Sio kila gazeti liandike mlichosema, mngekuwa sahihi kulaumu kama lingepotosha mlichosema lakini kama limeamua kutoandika ni uamuzi sahihi kuliko kupotosha, kwani Tanzania Daima si gazeti binafsi lakini limekuwa na uhuru wa kuandika linachokitaka na kuacha lisichokitaka, Msifanye jukwaa la JF kuwa kama Bunge kwa Pumba!
 
Soma TANZANIA DAIMA wewe.

na Club twende bilicanas na sio maisha, Darlive au Sansirona mabasi tupande Ngorika au Dar express na ndege tupande Pression Airways na kyoda tunywe Koka au fanta, na unga,mchele na sabuni tukanunue kwa Shirima, ukikosa nenda kwa mangi,
 
Mtanzania walijikwaa kwa kuandika habari za wapumbavu akina Shonza sasa limeacha baada ya kuanza kukosa soko.

Tambueni uhuru wa habari ili mjue kutofautisha Gazeti na kipeperushi cha uhamasishaji
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.

Sema, au unaogopa kuunganishwa?
 
MY Take: a) CCM wamefanikiwa kulichonganisha Mwananchi na Chadema, kwa hiyo lengo lao limefanikiwa at least kwa pale
kwa pale Mwananchi.

b) Mwananchi Communication jana walipewa mtihani wachague kati ya Msacky na Ukweli
wamechagua Msacky: Inaweza kuwagharimu in the Long run.

Biashara ya Magazeti inakwenda kwa upepo kama vyama vya siasa. Ukikosea kidogo wateja wanahama
wooote kama utani vile. Kwa hiyo Mwananchi wamefanya tactical blunder hapo.

Hii ishu ilikuwa ya kuwasaidia kupandisha zaidi chati gazeti kwa kuchagua Story itoke badala ya
kuchugua Msaki. Nawahurumia fulani hivi. Its a big, big, lost opportunity!

Ikiwa gazeti la Tanzania Daima limenunuliwa na watu wasiojulikana na halipo mitaani kama kawaida hapo tambua kwa Denis Msaki yuko Mwananchi limekuwa ni suala la kususa wasichapishe full stop.
 
Back
Top Bottom