Gazeti la Mwananchi lapotezea tamko la Marando

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Katika hali isiyo kawaida kwa gazeti hili la Mwananchi limepotezea habari iliyo tolewa na Mabere Marando baada ya kutaja majina kumi wahusika wakuu wa mtandao wa utesaji wa Dr. Ulimboka na Kibanda kisha sakata la Lwakatare. Magazeti mengi yameipa kipaumbele kasoro Mwananchi, Habari leo na Uhuru.
 
Ni lazima tamko la chadema lina ukweli kabisa! Ukizingatia mwananch ndio gazet linalopenda kuandika habar za siasa
 
pengine ni kwa7bu ametajwa msacky kwenye list ya mashetani.
 
Hawawezi kuandika kutokana na ukweli kuwa hao ndio watuhumiwa na wahusika wakuu katika unyama huo. Hilo si ajabu sana ila waandike wasiandike ila ujumbe umewafikia.
 
Tirdo anaanza kunitia wasiwasi utendaji wake kwa sasa. Days are numbered
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.
 
Wanajistukia kwani ukweli unauma,kwa ushauri wafanye kazi kwa maslah ya wananchi kama lilivo jina lake wasifanye kazi kwa maslah ya chama flani kama waona vp wabadilshe jina wajianike hadharani kua ni gazeti la jamii fulani
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.

Pasco kama na wewe sio MDUKUZIungemalizia kumtaja tu. Mbona yeye kawataja? Acha udaku we kijana.
 
Katika hali isiyo kawaida kwa gazeti hili la Mwananchi limepotezea habari iliyo tolewa na Mabere Marando baada ya kutaja majina kumi wahusika wakuu wa mtandao wa utesaji wa Dr. Ulimboka na Kibanda kisha sakata la Lwakatare. Magazeti mengi yameipa kipaumbele kasoro Mwananchi, Habari leo na Uhuru.

MY Take: a) CCM wamefanikiwa kulichonganisha Mwananchi na Chadema, kwa hiyo lengo lao limefanikiwa at least kwa pale
kwa pale Mwananchi.

b) Mwananchi Communication jana walipewa mtihani wachague kati ya Msacky na Ukweli
wamechagua Msacky: Inaweza kuwagharimu in the Long run.

Biashara ya Magazeti inakwenda kwa upepo kama vyama vya siasa. Ukikosea kidogo wateja wanahama
wooote kama utani vile. Kwa hiyo Mwananchi wamefanya tactical blunder hapo.

Hii ishu ilikuwa ya kuwasaidia kupandisha zaidi chati gazeti kwa kuchagua Story itoke badala ya
kuchugua Msaki. Nawahurumia fulani hivi. Its a big, big, lost opportunity!
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi).

Pasco.

Udukuzi wa S.K ni sawa na mtu anayeenda mahamakani na kichwa cha mtu kwenye kesi ya wizi wa mbuzi. Inabidi aanze kuulizwa, hiki kichwa cha mtu umekitoa wapi? Inaibuka kesi nyingine...
 
Tanzania Daima ni gazëti la UDAKU. Lazima UDAKU huu itauandika kwa kirefu sana.
 
Udukuzi wa S.K ni sawa na mtu anayeenda mahamakani na kichwa cha mtu kwenye kesi ya wizi wa mbuzi. Inabidi aanze kuulizwa, hiki kichwa cha mtu umekitoa wapi? Inaibuka kesi nyingine...

Vichwa kama hivi havina tofauti na masaburi
 
Hao wanajua media ethics katika issue inaitwa "the right to privacy!", mawasiliana binafsi ya watu ni privacy zao, lile tamko lilijaa "udukuzi" uliofanywa na (naomba nimhifadhi). Pasco.

Ethics??? !!! Na ile hoja ya Waziri Mulungo haikuwa personal ?,mbona waliishikilia kidedea.
what about biasness pia ni unethical
Hakuna gazeti lenye kiherehere cha kuripoti kila speech ya mwanasiasa kama mwananchi.iweje hii?
 
Katika hali isiyo kawaida kwa gazeti hili la Mwananchi limepotezea habari iliyo tolewa na Mabere Marando baada ya kutaja majina kumi wahusika wakuu wa mtandao wa utesaji wa Dr. Ulimboka na Kibanda kisha sakata la Lwakatare. Magazeti mengi yameipa kipaumbele kasoro Mwananchi, Habari leo na Uhuru.

Mwananchi wawaulize Majira ni kwanini wamekuwa siyo Gazeti pendwa tena? Mwananchi baada ya kugeuka na kuanza kuwa Biased mimi nimeacha kulinunua kwahiyo watambue wamekwisha poteza mteja mmoja mpaka sasa.
 
Katika hali isiyo kawaida kwa gazeti hili la Mwananchi limepotezea habari iliyo tolewa na Mabere Marando baada ya kutaja majina kumi wahusika wakuu wa mtandao wa utesaji wa Dr. Ulimboka na Kibanda kisha sakata la Lwakatare. Magazeti mengi yameipa kipaumbele kasoro Mwananchi, Habari leo na Uhuru.

Hili gazeti si ndilo lilomfanyia ugaidi dk salim a.salim!
 
Back
Top Bottom