Jana nilikua arusha,kweli mkutano wa mama samia ulifurika.tanzania ni matajiri sana yale ma v8 niyabei kwa haraka niliyo hesabu nikama mia na usheik,niliongea na baadhi ya vijana wa arusha,flykechaaa,stend ya arusha moshi,boda boda kwakweli wamesema makonda katengeneza fursa sana kwenyw sekta ya utaliii.na wanamkubali,kuazia wakina mama wajisiria mali