Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga

Dini zote zitakufa itasimam Katoliki ukweli ndo huo mtoa mada ni msabato
Katoliki hawa waabudu masanamu?
images-1.jpeg
 
KUTOKUOA KWA VIONGOZI WA DINI

*Mnamo mwaka 440 B.K viongozi walianza kusema kasisi (padre) asioe.

MAFUNDISHO YA BIBLIA
*Biblia inatuonya kwamba; watu wanaowazuia wenzao wasioe ni wale wanaowasikiliza MASHETANI
1 Tim -4:1-3
#Twasoma 1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani:2. kwa mnafiki Wa wasemao uongo wakichomwa moto dhamira zao wenyewe 3 wakiwazuia watu wasioe.
#2 Biblia inasema kwamba ni bora kuoa kuliko kuwaka tamaa ( 1 kor 7:9)
#3 Apataye kitu chema naye amepata kibali kwa BWANA (Mit 18:22)
#4 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema, Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja kwenye kiasi na busara ......(1 Tim 3:1-6)

HII HUSABABISHA WAINGIE KWENYE ULAWITI NA USHOGA

KWA MAANDIKO HAYA NA USHAHIDI HUU WA BIBLIA DHEHEBU LOLOTE LINALOKATAZA MAKASISI/PADRE/ MAASKOFU KUOA WANAFUATA MAFUNDISHO YA MASHETANI

AMEN
FB_IMG_1540122103393.jpeg
 
Sio 98 % binafsi nimeshuhudia kwa kiasi fulani naweza sema 60% . Tatizo jamaa kutokuoa kunawafanya wawaaribu watoto na wakikua wanaendeleza sababu wanachaguliwa within kufanya mambo ya kanisa , ndio muendelezo ulipo.
 
Hiyo 98 nadhan kwa vatcan pale pale
 
Ok mkuu. Nimeiona miki Tanzania na huku ninapoishi kwa sasa ndio hatari.
Mimi kuna mzee wa heshima ,anasali kanisa hapa Dar la RC(JINA NALIHIFADHI) kila siku ananunua mashoga, ...

Na muda huu yupo kanisani, ni mtu wa karibu sana na Pengo, hata picha wakiwa na pengo ninazo, Ana mke lakin ni mpenda mashoga sana,

Mengine kuandika hapa ni aibu,
 
Wacha tu naelewa sana hizo, huyo mzee anapiga na kupigwa usikute so akiwa na mashoga siri inakaa ndani vizuri.

Back
Top Bottom