Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Mie siku hizi siamini kabsaa haya magazeti, kama kuna ufisadi sidhani kama Magufuli angemuonea haya angesema wazi tumeondoa kwa ufisadi huu na huu na atapelekwa mahakamani, mbona kina Masamaki wapelekwa na watu kibao tumeelezwa na rais madudu yao, au mnataka kunambia Magufuli aliogopa kutamka madudu ya Dr. Dau, hatutaki hisia zenu kama madudu yapo basi na yeye ataunganisha na kina masamaki, KUFATA HAYA MAGAZETI YATATUHARIBU KAMA KIPINDI KILE CHA LOWASA KUBENEA KUMBE ALIKUWA ANATUDANGANYA TU KUWA LOWASA FISADI, KUMBE MSAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII BABA WA WATU, Yani kubenea kanifanya nisiamini habari yoyote ya gazeti lolote inayosema neon Ufisadi.
lowassa anakujaje asmaa80 ????jitetee2 mwache rais apumzike
issue ni hivi evidence zipo ktk hilo gazetti na magazeti yapo kisheria na kuna misingi inafata so hawawezi kudanganya umma na serikali kwa ujumla,.,....na pia rais aliwahi kumtetea dau kipindi yupo wazr kuwa ni mtu aliyetukuka na anastahili tuzo ya ufanyakaz bora,...baada ya kusaport daraja la kigamboni,...leo jpm aje hadharani amuaibishe dau ataonekana mtu mwenye ndimi2 aliyekurupuka,...ndomana kaamua kumtoa kule nssf kimyakimya2 na kumpoteza percee,......
na rais anajua ufisadi wake ndo maana kamtoa nssf,....jikumbushe mbona muhongo yupo ktk scandal ya escrow na kutoa taarifa ya wazr mkuu kwenda kwenye mita kule bandari lkn rais anamsifia muhongo,......so take it asmaa80
 
Ngoja tuone hii sinema itaishia wapi, Ila wenye kuicheza waicheze vizuri otherwise inagawa watu.

Una maana gani inagawa watu? Waliofasidi wote wakae kundi moja tuwashughukie na wazalendo upande wa pili. Mgawanyiko huu ndio tunautaka haswaaaaaaaaa!
 
Magori kwa NSSF hapana tuwe wakweli jamani, jamaa huyu bado saaana! anakimbizana mno na akina 'hawa'.
 
na mafia

serikali inafanya kazi kaka ...., hata kama aliekuwa akipelekewa taarifa anazikalia ..siku hazigandi
wanapiga kozi nini mkuu????????
maana hii dini ya hawa jamaa mhhhh[/QUOTE]

its not about religion kaka ..ni tabia tu ....kama Rwanda waliumizana na wote ni dini moja tena dhehebu moja ....kanisa takatifu KATOLIKI la mitume ....,Syria wanauwana wote dini moja ...
mimi nilichoongelea tu ni kuwa kuna watu porini wamekuwa starved na njaa .......inabidi waanze kutoka kutafuta chakula kwa nguvu wakati before everything was provided for bread and butter .....alieambiwa akasema anaonewa
 
DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...

I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.
ripoti ya CAG ipi na ya lini mkuu, nataka nijisomee mambo ya jamaa yake na Zitto
 
PAMOJA NA KASHFA ZOTE HIZO JAMAA ALIKUWA NI MDINI SANA, OFISI YA NSSF KAMA SIO DINI FLANI BASI HUNA AJIRA HATA WATAFANYA JUU CHINI WAWEKE DINI FLANI. ALIKUA MBAGUZI NA FISADI WA KUTUPWA
  • Atafuna mabilioni ya wanachama.
  • Adaiwa kuwa na ukwasi wa kutisha.
  • Prof. Godius Kahyarara apokea 'fupa'
Chanzo: Gazeti la Dira

image-jpeg.331381
 
Ngoja waje hapa na wale ndugu zetu wapendwa wanaokwazika wanaposkia habari kama hizi juu yake, tusikie nao wanasemaje! Ila wasigeuke Nyumbu tu katika hili!
Mnaomsifia Magu hii ni aibu yenu.

Inakuwaje gazeti hili kila siku liwe na taarifa hizi alafu raisi aliezungukwa na vyombo vya ulinzi na usalama asiwe nazo?Ni kweli Magu alikuwa hayajui haya?Au mtasema hizi ni habari za uongo na uzushi?

Mi siko tayari kusifia mtu eti tu ni dini yangu, ni kabila langu ni jirani, nk. Kama jizi, jizi tu na familia yake. Hainisaidii kufahamiana na jizi. Kama wote ni wezi wanatajana, safi! Hata vibaka hutajana na ndiyo hurahisisha hukumu.

Dau safi wa wapi? Uwe ktk serikali iliyopita uwe msafi kweli?
 
I, believe hii report ni Audit queries, tungependa tupate response ya Management for the best judgement.
do u want to mean those audit queries were not forwarded to the Management Letter coz of ''satisfactory'' management responses?
 
Huyo ndiyo Mtume Dr. Dau anawatetezi kuliko Chenge
 
PAMOJA NA KASHFA ZOTE HIZO JAMAA ALIKUWA NI MDINI SANA, OFISI YA NSSF KAMA SIO DINI FLANI BASI HUNA AJIRA HATA WATAFANYA JUU CHINI WAWEKE DINI FLANI. ALIKUA MBAGUZI NA FISADI WA KUTUPWA

Kumbe ni udini siyo?

Sasa si mseme straight?

Mna haja gan ya kuzunguka?

Kama kuna mwenye ushahid auweke wazi na siyo kukimbilia kwenye magazeti..

Whistle blowing it goes with evidence and not blaah blaah...

Teh teh teh
 
lowassa anakujaje asmaa80 ????jitetee2 mwache rais apumzike
issue ni hivi evidence zipo ktk hilo gazetti na magazeti yapo kisheria na kuna misingi inafata so hawawezi kudanganya umma na serikali kwa ujumla,.,....na pia rais aliwahi kumtetea dau kipindi yupo wazr kuwa ni mtu aliyetukuka na anastahili tuzo ya ufanyakaz bora,...baada ya kusaport daraja la kigamboni,...leo jpm aje hadharani amuaibishe dau ataonekana mtu mwenye ndimi2 aliyekurupuka,...ndomana kaamua kumtoa kule nssf kimyakimya2 na kumpoteza percee,......
na rais anajua ufisadi wake ndo maana kamtoa nssf,....jikumbushe mbona muhongo yupo ktk scandal ya escrow na kutoa taarifa ya wazr mkuu kwenda kwenye mita kule bandari lkn rais anamsifia muhongo,......so take it asmaa80
Hebu Elezea Muhongo alihusika vipi? yani kikamilifu katika issue ya Escrow lielezee lile sakata lilivyo alivyo ujiridhishe na jinsi alivyoshiriki kikamilifu, halaf tumia akili katika kushiriki kwako kama ni kwania ya dhati kutaka kufanya ubadhirifu au chochote, mpaka uwe na Akili kubwa ndo utajua kama MUHONGO HAUSIKI, Kwa akili yako ambayo unasema magazei yapo kisheria hata Kubenea ambae nakupa mfano alikuwepo kisheria wakati anatuaminisha Lowasa ni fisadi na kumbe MSAFIIIIIIII, Unaposema apumzishwe una akili kweli wewe, alipoenda mwanza ungemwambia apumzike basi ataendelea kuwepo sabab ndo rais wa chadema mpaka sasa utampumzisha vipi.

Ninachotaka kukwambia ni kwamba kama kuna madudu muda utafika yaatanikwa na kupelekwa Mahakamani kama kina Masamaki siko hapa kutetea.
 
DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...

I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.
Well said
 
Anayemtuhumu Dau au kumsupport Dau kwa kigezo cha imani yake huyo hafai na mtu hatari sana. People should be judged on merit and merit only.

Kwa kasi hii ya Magufuli I tell you..watu watalia sana. Tanzania tulikuwa tumezidi kwa figisu figisu! Hii yote kwamba Magufuli anaonea watu, sijui watu wanateuliwa toka nje ya mashirika na nonsense nyingi kama hizo..ni by the way....fundamental issue ni kwamba mirija imekatwa! watu inabidi waanze kuishi kwa jasho.

We should all learn to play by the rules! Na hapo ndo pagumu kwa Tanzania yetu.
 
Vyombo vyetu vya ulinzi ni goi goi sana!! Sijui vinasubiri nini ili kuanza kuchunguza ufisadi kama huu ambao taarifa zake ni za muda mrefu sana?!!!

Ni muhimu kila taarifa ikafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo hata kama ni uzushi vinginevyo kwa staili hii nchi hii itayumbishwa sana!
 
Back
Top Bottom