Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Please watajwe hao mainjinia waliopita mlango nyuma na kupewa tenda kubwa,tuwajue
 
DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...

I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.
Big thumb.................. Huwezi ogelea ndotoni.... Lazima tuamke ili tuone na kujua ukweli.
 
Huyu Dau amekingiwa kifua cha udini kwa muda mrefu sana! Ukimgusa tu wanakuja watetezi lukuki wakidai wanaomtuhumu ni wagalatia! Ufisadi hauna Dini! Kuna MTU mmoja anajulikana kwa jina la And*ew **eng*! Huyu jamaa ni mkristo lakini fisadi la kutupwa! Sasa wakristo wenzangu watakuwa wa ajabu sana kama watamtetea kwa sababu tu ni mkristo!
sahihi kabisa mkuu,...ila huyu dau huwa anatoa sana misaada misikitini ndomana watu wanadanganyika
zile hadaa ndo zinapelekea watu kumtetea wakati fisadi.....
inabidi tuungane kila mtu na dini8 yake kupinga ufisadi no matter wat
 
Huyu dau ni mwizi,mdini na .... Atafungwa tu sheitwani mkubwa
 
DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...

I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.

Magufuli ana kazi
 
Akanyee debe fisadi hana kinga ya dini,alafu na nyie wavaa pedo sio mnatetea mwzi kisa nae mvaa pedo
 
Salary Slip: 15632519 said:
Mnaomsifia Magu hii ni aibu yenu.

Inakuwaje gazeti hili kila siku liwe na taarifa hizi alafu raisi aliezungukwa na vyombo vya ulinzi na usalama asiwe nazo?Ni kweli Magu alikuwa hayajui haya?Au mtasema hizi ni habari za uongo na uzushi?
Angekuwa na akili angalau kidogo tu, mingekujibu hili swali lako la kijinga
 
Back
Top Bottom