Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Gazeti la dira: Ufisadi wa Dr. Dau NSSF

Vyombo vyetu vya ulinzi ni goi goi sana!! Sijui vinasubiri nini ili kuanza kuchunguza ufisadi kama huu ambao taarifa zake ni za muda mrefu sana?!!!

Ni muhimu kila taarifa ikafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo hata kama ni uzushi vinginevyo kwa staili hii nchi hii itayumbishwa sana!
Pinda alisema nchi itayumba
 
DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...

I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.
Umeandika ukweli mtupu. Hao jamaa wa makumbusho walipewa karibu miradi yote mikubwa ya ujenzi ya shirika na nina wasiwasi kama baadhi ya majengo yale ya derm moja likawa la dr dau kwani kuna mfanyakazi wa nssf, mshirika wa karibu wa dau anayehusika na miradi ya ujenzi ya nssf amejenga hotel kubwa hapo makumbusho.
 
Umeandika ukweli mtupu. Hao jamaa wa makumbusho walipewa karibu miradi yote mikubwa ya ujenzi ya shirika na nina wasiwasi kama baadhi ya majengo yale ya derm moja likawa la dr dau kwani kuna mfanyakazi wa nssf, mshirika wa karibu wa dau anayehusika na miradi ya ujenzi ya nssf amejenga hotel kubwa hapo makumbusho.

Ndo hapo mkuu..hiyo kitu nilikuwa sijui.....nilisikitika sana when I knew this.....ndo maana naona Dr. Dau hana credibility kabisa! Wale jamaa wamefaidika sana kiujanja ujanja. By the way I have no problem with someone playing by the rules. Only that Dau alikuwa anawapa miradi ya billions kwa mlango wa nyuma. Shame on them all!
 
Vita ya Magufuli dhidi ya ufisadi nitaikubali na kuamini when serious corruption na Wizi mkubwa utakapofanyiwa kazi. Nafikiri scandals kama za EPA, Richmond Escrow nk nafikiri hazikuisha bali zilitulizwa tu. Ni wakati wa kuibukia madudu yote ili kutoa fundisho kwa kizazi kijacho!!
 
Jamaa ni jizi.... Halafu anajenge office kwenye kuta za msikiti...!
 
Mie siku hizi siamini kabsaa haya magazeti, kama kuna ufisadi sidhani kama Magufuli angemuonea haya angesema wazi tumeondoa kwa ufisadi huu na huu na atapelekwa mahakamani, mbona kina Masamaki wapelekwa na watu kibao tumeelezwa na rais madudu yao, au mnataka kunambia Magufuli aliogopa kutamka madudu ya Dr. Dau, hatutaki hisia zenu kama madudu yapo basi na yeye ataunganisha na kina masamaki, KUFATA HAYA MAGAZETI YATATUHARIBU KAMA KIPINDI KILE CHA LOWASA KUBENEA KUMBE ALIKUWA ANATUDANGANYA TU KUWA LOWASA FISADI, KUMBE MSAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII BABA WA WATU, Yani kubenea kanifanya nisiamini habari yoyote ya gazeti lolote inayosema neon Ufisadi.
Inategemea na jinsi unavyomwamini Magufuli. Unadhani yeye ni Mungu anayejua kila kitu!!!
 
hivi hili gazeti liliwahi kuandika mambo ya escrow,iptl,na mambo ya mkombozi bank?
 
..huyu mmikiki wa Dira naye ni jipu nakumbuka iliandikwa makala katika gazeti la FAHAMU kuhusu kashfa yake ya utapeli wa viwanja vingi hapa Dar lakini ikazimwa kiaina sasa anajifanya ni mdhamini wa matamasha ya pasaka ...Magu mulika huyu.
 
  • Atafuna mabilioni ya wanachama.
  • Adaiwa kuwa na ukwasi wa kutisha.
  • Prof. Godius Kahyarara apokea 'fupa'
Chanzo: Gazeti la Dira

image-jpeg.331381
Hivi ni kwanini issue siku zote ni za Dau tu?
Kuna watu Kibao na issues zao, kina Muhongo, Chenge, kitilya etc mbona hawachukui nafasi ktk habari za mujini?
Nadhani hii ni beyond ufisadi, kuna issue nyingine behind!
 
Ni kijalida kao, sisi tunadanganywa tu, mbona jana tumeona watu wa chama fulani wanapiga kura wakiwa wamevaa sure za manjano.
 
wajinga wataingiza dini,...evidence zipo mkuu kuwa dau kapiga
Huyu Dau amekingiwa kifua cha udini kwa muda mrefu sana! Ukimgusa tu wanakuja watetezi lukuki wakidai wanaomtuhumu ni wagalatia! Ufisadi hauna Dini! Kuna MTU mmoja anajulikana kwa jina la And*ew **eng*! Huyu jamaa ni mkristo lakini fisadi la kutupwa! Sasa wakristo wenzangu watakuwa wa ajabu sana kama watamtetea kwa sababu tu ni mkristo!
 
Mwaache atafune mbona nkurunzinza wa zanzibar na jecha wamepora ushindi wa maalim Seif hadharani na watu woooote wapo kimya
Hii double standard lazima imtese Magu.
Kwa suala la Zanzibar kashaingizwa kingi.
 
Hapa tatizo linaloonekana ni Uislam wa Dr. Dau, kwa majungu ya namna hii tutaendelea kusubiri sana kupata maendeleo. Je kwa nini haya mambo yaandikwe sana sasa hivi akiwa ametoka NSSF? Kweli you can' t please everybody. Habar za Mkombozi Bank na wale maaskofu sasa kimya kabisa. Watanzania tujikite ktk kutafuta maendeleo sio porojo na blah blah.
 
Back
Top Bottom