celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
- Atafuna mabilioni ya wanachama.
- Adaiwa kuwa na ukwasi wa kutisha.
- Prof. Godius Kahyarara apokea 'fupa'
Magori mkurugenzi ameshapatikana
Tulia sasa
Speaking of flogging a dead horse
Magori mkurugenzi ameshapatikana
Tulia sasa
Speaking of flogging a dead horse
Lisemwalo lipo, ila hizi habari ni za siku nyingi na zimekuja kipindi kitamu cha mtumbua majipu sio kile cha kuchekeana alichozoea Dau!
Kama ilivyokuwa kwa balozi SefueNadhani huu ndiyo mwisho wa ubalozi wa Dau.
Ni kweli hapo laZima watu wachombeze udiniNgoja tuone hii sinema itaishia wapi, Ila wenye kuicheza waicheze vizuri otherwise inagawa watu.