evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
kwani kina masamaki wameishia wapi.......akaunganishe na kina masamaki
kwani kina masamaki wameishia wapi.......akaunganishe na kina masamaki
wajinga wataingiza dini,...evidence zipo mkuu kuwa dau kapigaNi kweli hapo laZima watu wachombeze udini
si walikuwa segerea?kwani kina masamaki wameishia wapi.......
apelekwa mahakamani,...kukumbatia ufisadi ndo kunauwa nchi.........DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...
I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.
ahhh wapi,....tehteh we hukuskia kma waliachiwa kwa dhamana??????????si walikuwa segerea?
????Mambo ya kuleta screen short ya gazeti yafe! lete habari nzima nzima, tunajua kuwa hata ww unaweza kuandika thread, hata ukikaa kimya tunatambua uwepo wako jukwaani!
soma post#12....otherwise acha ubahili mkuu tafuta gazeti ununue.....Leteni ushahidi wa Ufisadi wa Dr Dau otherwise ni majungu tu
Ushahidi soma magazeti ya dira kama unayapinga kayashitaki yafungiweLeteni ushahidi wa Ufisadi wa Dr Dau otherwise ni majungu tu
nipo dunia hii uliyopo wewe sijapata time kujua kuwa waliachiwaahhh wapi,....tehteh we hukuskia kma waliachiwa kwa dhamana??????????
wapo uraiani mkuuu,..upo ulimwengu gani mkuu tehteh
ccm chama cha kulindana mkuu
wanafanya nini msituni mkuu??????[/QUOTE][QUOTE="Phillemon Mikael, post: 15632929, member: 504"]Mwambieni Dau awapelekee chakula watu aliokuwa akiwafadhili kwenye mapori ya Mkuranga ,,,,...Mnajuwa simba akikosa chakula mwituni huanza kuja mitaani kusaka chakula .....wako kwenye hali mbaya sana ....!!
wapo uraiani mkuu,....wanakula kodi za raianipo dunia hii uliyopo wewe sijapata time kujua kuwa waliachiwa
daaaahhhh ,,ushahidi bado hata ukiekwa humu mnauteteaLeteni ushahidi wa Ufisadi wa Dr Dau otherwise ni majungu tu
atakuja kumsifia mkuu,..time will tellNchi hii kweli?ngoja magufuri afanye kazi kama ni kweli hata ubarozi hastahili
na mafiawanafanya nini msituni mkuu??????