Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.
Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »
Na tena : « …watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii… »
My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.
<br />Hao jamaa wa mwenye nyumba, waache tu miaka yao mitano ya kujidai nani awaguse?! He he hee! Na mahakama yako ya kazi(kadhi) za ndoa na matanga ndo kushnei ! Unajua bana kwa udogo wa akili zao wanadhani kuna mtu Bongo anataka vita, hivi tunaibiwa weee na Magamba ni poa tu nani mwehu wa kupigana?! Hii ndo bongo bwana, michongo tu na uongo mwanzo mwisho kwanza wenye dini wako saudia hao al nuur wanabwata tu uislamu wanaujua hao? He he he! Wakiwa tayari na kijeshi chao mimi nitajitolea kuwafundisha fani yangu ya Mabomu niliyosomeshwa kwa kodi ya nchi hii, mayb watakua serious and we gonna have some funny! Bt who is the Target?
Lipi ambalo wewe unaliona hapa kwamba ni tusi dhidi ya Uislam?? Nawe acha kubwabwaja ovyo!Inshu co ccm,cdm,wala nn unapotukana uislam hamna atayevumilia awe cdm,cuf,ccm simba yanga mtibwa woote kitu moja so angalien mnachsema
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za kichochezi chochezi tu. Limekaa kishari sana hili gazeti. Mfano toleo la wiki hii limeandika : (Waikela) ataka Waislam kuwa tayari kwa Jihad.
Halafu ndani kuna maneno yafuatayao : «Masheikh wazunguke watutafute tunaotaka kumfia Mwenyezi Mungu, tukishafika watu wachache inatosha, msipoteze muda na wale wasiotaka kukfia Allah (sw), waacheni wabaki na serikali yao. Sina hofu na kwamba Waislam wakiamua wanaweza na wanatisha bila kujali wingi. »
Na tena : « watafutwe Waislamu hata kumi tu, kwa ajili ya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kukomesha hali hii »
My take: Hawa si watu wa kudharau a na haya si maneno ya kupuuza. Hivi ndivyo Al Shabab ya Somalia, Taliban ya Pakistan na Afghanstan na makundi mbalimbali ya kigaidi huko Nigeria na duniani kote yalivyoanza.
Mhariri wa hilo gazeti ni gaidi Malaria Sugu