Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

Status
Not open for further replies.
hivi ungetajwa msikiti,kungekuwa na mada hii saa hizi hapa?why kanisa mkuu?njia ya kuwakata ngebe si kushauri watu waache kutaja mifano ya kanisa,bali waichukulie mifano hiyo katika usahihi wake sawa tu na kama ungetajwa msikiti.Likitajwa kanisa au msikiti halafu minung'uno ikaanza kama hivi,hatuko salama.Ni lazima kanisa na misikiti itajwe na watu wawe na amani bila kustuka.Ndio uhuru wenyewe.Msigwa ni mtanzania huru.Ila baadhi ya watz waliomsikia hawako huru,ndio maana manung'uniko.Tuwaweke huru,siku nyingine wakisikia kanisa waendelee na kazi zao bila shida.

Tupo kwenye uchaguzi na maadam hii kauli imekuwa divisive ni lazima tuwe kwenye crisis containment mode mkuu. Haya mengine jamii itaelimishwa baadaye. Sioni sense of urgency kwenye hoja yako utafikiri kuwa uchaguzi uko mwaka kesho. HAIJALISHI kama Msigwa ni Mtanzania huru ama la. HAIJALISHI kama ungetajwa msikiti kungetokea nini. HAIJALISHI kama Msigwa alimaanisha tamathali ama la. Hayo yatafafanuliwa baadaye polepole na jamii kuelimishwa. Kwa vile kauli hiyo imetafsriwa negatively Msigwa atoe ufafanuzi tu alichomaanisha. Is this difficult to do? Kwa mwanasiasa aliye makini na anayejali?

CHADEMA wanashtumiwa kuwa ni chama cha Wachagga, mara cha kibaguzi, mara SACCOS na sasa ni kanisa. Unaweza kudharau tuhuma hizi lakini in politics you don't take anything for granted mkuu hasa kwenye jamii yetu ambayo wapiga kura wetu wengi hasa huko vijijini wanaweza kuyumbishwa kirahisi sana na wapotoshaji hawa waliofilisika kisera.
 
Shuleni ulifundishwa kuhusu "tamathali za usemi"? Kweli ujinga ni hasara. Hivi mtu akitumia tamathali kwamba wewe ni mfupi kama nyundo; mweusi kama chungu;mwekundu kama papai n.k bado unakumbuka hizi tamathali zina maana gani kweli? Au ndio shule ilikupita kushoto? Kweli shule muhimu!

Anajua ila anajifanya hamnazo kwa malengo aliyoyakusudia yeye! Ni kawaida ya watu wanafiki!
 
Msigwa ndio anaepaswa kukemewa na hii ndio tatizo la viongozi wa dini kujiingiza katika siasa, amesema " Chadema ni Kama Kanisa" sasa mwaandishii kosa lake ni nini hapo? Msigwa anapaswa akemewe
 
Washaurini wawe waandikiwa Hotuba zao. Kuamini kuwa kauli ya Msigwa ndio Kauli ya CDM na alimaanisha, tumeona Mwanza Padre Mbowe akiwasamehe akina Esther Bulayo na Lembeli baada ya kuungama na kutubu Dhambi zao.
Na hata JF humi tumeona makasisi wengi tu Wakisamehe kila Fisadi wa CCM aloonyesha nia ya kuja kutubia.
 
Mnazichezea siasa za nchi hii, na bado hamtaki muambiwe ukweli. Lazima mtatuaminisha kuwa CDM ndio kanisa la uokovu na CCM ni la shetani kwa kuwa matarajio yenu kote watasimama Wakristo. Baadae wakisimama wa dini tofauti mtatoa mfano upi?
Wanaowalipa watu kuandikiwa hotuba sio kwamba hawana uwezo wa kubwabwaja, wanajua athari za kuropoka kwa kuangalia mass inalichekea lipi.
Msipozijua nafasi zenu katika jamii kama viongozi, hamfai kuongoza.
 
Credible Viewer

Ndio maana hua tunaseema waandishi wengi nchini ni makanjanja hawana sifa! Kama ana sifa basi amefanya makusudi kutengeneza uchochezi, na kama haelewi basi sio mwandishi huyo.

Naona hapa kamtazama Msigwa kama Mchungaji na kuangalia mdomo wake unatamka nini na yeye bila kufikiri kahamisha hivyo hivyo. Huu ni ulimbukeni uliopitiliza, hamna mtu ambaye hakumwelewa Msigwa!

Alimaanisha CHADEMA ni kama kanisa kwa maana ya kupokea kila mtu ambapo hata wengine hutubu dhambi zao na kuendelea kupiga kazi ya kumtukuza Mungu basi.

Ndivyo alivyomaanisha Msigwa, lakini wao kwakuwa wamezoea kutumika na unafiki wao ndiyo maana wamekuja na chokochoko hiyo ya kidini baada ya ile ya ukanda kufeli vibaya!
 
Last edited by a moderator:
Waisilam ni daraja la kupitia kisiasa..ni watu ambao ufikiri wao upo chini sana...na ccm inawapenda kuwatumia kufanikisha azma zao..wamesha sahau kauli ya Guniita aliyoitoa kipindi cha lowasa...na ubovu mashekhi wao ni vilaza hakuna mwenye degree ndio maana ni watu wa kulalamika sana

Yusuf Makamba muislamu mwenzao akiwa mkuu wa mkoa au katibu mkuu wa ccm hawezi kumaliza hotuba bila kutsjs aya za biblia na hawa mazuzu hujawahi kuwasikia kwamba ccm inakumbatia ukristo. Hawa ni watu wa hovyo sana.
 
Ni upuuzi tu pale watu wanapopoteza logic kwa sababu ya udini. Shida au umaskini haubagui...
 
Msigwa yeye ni mchungajina anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristohata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutungahakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisaMifano ipo mingi ya kufikisha ujumbeKutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa
umesha maliza sion lakuongea
 
Washaurini wawe waandikiwa Hotuba zao. Kuamini kuwa kauli ya Msigwa ndio Kauli ya CDM na alimaanisha, tumeona Mwanza Padre Mbowe akiwasamehe akina Esther Bulayo na Lembeli baada ya kuungama na kutubu Dhambi zao.Na hata JF humi tumeona makasisi wengi tu Wakisamehe kila Fisadi wa CCM aloonyesha nia ya kuja kutubia.
inaitajika uelewa wa ziada kukuelewa
 
Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa

Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe

Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa

bora hajawa mnafiki
 
Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa

Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe

Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa

Uko vizuri sana
 
Kwa haya yanayoongewa humu ndani yananikumbusha maneno ya mwalimu na mtazsmo aliouona kwa kusema ' RAISI BORA ATATOKA CCM ' sikupenda kumuunga mkono lakini vyama vyetu vingi vina kosa kuwa na sura ya utanzania hii ndio naona itawachukua miaka mingi mpaka kuweza kushika hatamu za uongozi, they should look critically in their structures in order to be widely accepted as true national parties. In comparison to the current party in power,, else things may not work for them,
 
Hivi huwa mnasoma magazeti kama hayo? Highly unprofessional!!! Wanaandika kwa kupapasa, hawafanyi uchunguzi wa habari.
 
mchungaji na yeye kwanini asihubili tu siasa aachane nazo. nahisi hata waamini wake ni chadema
 
Siyo kweli mdau. Nenda tena kaisome kauli ya Msigwa. Kwenye siasa huwezi kutegemea hadhira ndo iamue ulimaanisha nini. You have to be as clear as possible. Na kwa vile kauli hii imeleta utata, Msigwa inabidi afafanue alimaanisha nini. Hii ni Politics 101 hasa kwenye ishu ya crisis/scandal management and containment. Kuna ugumu gani kufanya hivyo na kuwakata ngebe hawa wapenda udini? Mtatoa povu tu eti tamathali. Tamathali si tamathali haijalishi kwa hali ikivyofikia sasa na msipoangalia inaweza kuwacost kura kibao.
sikumbuki hii kauli kutolewa ufafanuzi,

[h=2]"ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa" - JK[/h]
 
Mimi ni Mkristu na ninaunga mkono Upinzani lakini kusema kweli nilikwazika sana nilipoona ktk vyombo vya habari Mchungaji Msigwa akiifananisha CHADEMA na kanisa,hii huwa inaitwa political gaffes. Msigwa alipaswa kukumbuka kuhusu tuhuma za udini zinazoelekezwa kwa chama chake kila siku,yes he unknowingly gave CHADEMA's political foes a gift and they had taken advantage of it,they had a field day. Next time Msigwa anapaswa makini na kauli zake, huu ni mwaka wa uchaguzi you can't be this reckless.You have to be careful.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom