Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Chenga kidogo tu inakupoteza hata wewe .?Iam not expecting you to be a cheap man like this as the issue is very trivial.Kosa ni kusema tu CDM ni kama kanisa..ok je angeandika ni kama msikiti hilo gazeti lingeandika wakristo hawana lao kwenye chama?yaani hilo tu aah ina maana hata ule uwezo wakutafakari na pengine kupuuzia mambo madogo na kuyatafsiri ktk upotoshaji linawashinda.Au ulitaka ataje nyumba zote za ibada ili mufurahi?Je hizo tuhuma za udini ni za kweli au ni zile mbinu chafu zinazotumiwa na hao manyag`au.Nikukumbushe tu akili za kuambiwa changanya na za kwako.Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa
Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe
Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa
Hivi akipita mtu anatangaza jamani twende msikitini kusali utasema amewabagua,hakuwajali wasiokuwa wa dini hiyo!